Where is Love here?

Where is true love?

  • From GOD

    Votes: 10 66.7%
  • From Parents

    Votes: 5 33.3%
  • From Relatives

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    15
Mkuu angalia kifaa ambacho kinakujali na wewe unakipenda unaweza ukampenda huyo mwenye mtoto kumbe yeye hakupendi jaribu kuwa makini.

"
"ananipenda mpaka mwenyewe nachukia"
 

Is it the India factor or love? Kwani alivyovunja mahusiano mwanzo alitoa sababu gani? Nini kinamrudisha? Kwa maoni yangu unaelekea 'kuvutiwa' zaidi na huyu demu wa tambaza (aliyekwambia kashakuwa na mabwana wawil baada yako). Sina hakika ni nini kinakuvutia!

Huyo uliye zaa nae anakupenda mpaka unachukia! Hii inaashiria kwamba amejitolea kwako kuliko wewe ulivyojitoa kwake na hivyo unahisi deni kubwa! Hujasema kama unampenda au la, lakini maneno yako yanatia shaka kama kweli unampenda.

Mimi nakushauri uchague mtu unayempenda na ambaye utakuwa tayari kukaa naye maisha yako yote (taabu na raha). Yupi kati ya hao unampenda, ni wewe tu unayeweza kutuambia! Kwa uamuzi wowote utakuaofanya, ni lazima uzingatie mustakabali wa mtoto wako.
 
ubaya wake upi?

Kuna ubaya tena sana , lakini kwa kujitakia kama kwa huyu bwana,
atakapotoka hapo amuoe huyu mwingine azae tena ni vibaya maana amejitakia kitu ambacho ana uwezo wa kukizuia.

Kuna kuzaa kila mtoto na mama yake kwingine ambako hakuzuiliki na sababu zake zinaeleweka, lakini kwa huyu jamaa hapana, kwanza huyu aliyezaa naye anampenda na anamheshimu, atulie. Yaani hapo siyo lazima uwe na Degree kupata jibu hata la saba anajibu.

Mbona unauliza sana na wewe umefany hivyo nini?
 
Jamani nimeamua kubadili content hapo juu.....nashukuruni wooote kwa ushauri wenu....ila napenda ni waambie kuwa ushauri wenu umenipa nguvu mpya ya kufanya maamuzi ambapo nimeamua KUMUOA KABISA HUYU NILIYE ZAA NAYE mategemeo yangu ni kufanikisha taratibu zote za ndoa kabla ya kufikia mwisho wa mwaka 2010.

Nashukuruni sana ndugu zangu.
 
Unataka mwanamke wa kuoa au kuishi naye (living together). halafu kwa nini hutumii condom? Tulia sali mungu akupe mke mwema. Halafu uhabiribu kwa watoto wa wenzio. Hebu fikiria kama na wewe ukiwa na binti halafu wakam... then wakamwacha utajisikiaje
 
JAMANI NASHUKURU SANA KWA USHAURI WENU NDUGU......NIMEFARIJIKA SANA NA NIMEAMUA KUIONDOA HII MAPEMA AS KUWEKA KILA USHAURI UWE KWANGU TU NA KUTOKUACHA ANY TRACES..............

Thank all guys and ladies


sina uhakika, kama umefarijika inawezekana ushauri uliopewa hujaupenda, au hukuutegemea ndo maana umeamua kuindoa mapema ili , usiendelee kuumi roho.pole sana
 
No wonder ulifungiwa.........
 

Sawa sawa Meku..chapa mwendo mbele...tuletee na kadi za mchango hapa...
 

mambo si hayo bwana, umechagua lililo jema.
 
aisee ur not serious kijana......yaani wana JF na hizi post zao umeshaamua mkuu? unaishi nae huyo mkeo maisha angalia mind yako inasemaje sio ufate kila kitu wana Jf wanachokuambia.....utajajuta kuingia humo......

nakushauri oa umpendae.......
 
Ashakum si matusi,
Katu !!! watu wenye hulka njema hawaoni fahari kutangaza shortcomings zao kama huu uzinzi unaojifaharisha wewe kwenye kadamnasi kana humu jamvini.

Ulikosekana kupigwa mijeledi wakati huo, je sasa unaomba upigwe mawe mpaka ufe? Sio nyie mnaotuenezea ukimwi nyie? Maswali kama haya hebu waulize wazazi wako kama nao wana heshima barabara.

Umelelewa vipi wewe? Huna haya hata kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…