mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Kwa wale wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi, wiki iliyopita sijamsikia kabisa Paul James Swea kwenye kipindi cha Jahazi, pia Captain yuko china badala yake namsikiliza Wasi wasi Mwabulambo ambae aliendesha hiko kipindo miaka ya nyuma na baadae kutimkia Azam Media
sasa nauliza je Wasiwasi ndio kachukua nafasi ya Paul James PJ..?
sasa nauliza je Wasiwasi ndio kachukua nafasi ya Paul James PJ..?