Umwambie na miss zomboko Pia beth wawe wanacoment hata mara moja moja sio kupost na kutoka ndukicome back Preta,Kingast,mwafrika wa kike, woman of substance
come back Preta,Kingast,mwafrika wa kike, woman of substance
Kwa wale wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi, wiki iliyopita sijamsikia kabisa Paul James Swea kwenye kipindi cha Jahazi, pia Captain yuko china badala yake namsikiliza Wasi wasi Mwabulambo ambae aliendesha hiko kipindo miaka ya nyuma na baadae kutimkia Azam Media
sasa nauliza je Wasiwasi ndio kachukua nafasi ya Paul James PJ..?