Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Karibu kwenye maandalizi ya sherehe, malaika wa bwana ameanza kupasha habari kwa watumishi
Safari ilikuwa ni ndefu na ya kuchosha lakini kwa hapa tulipofika nisisite kusema ni haki malaika kupaa angani wakiwa wanashangilia kwani ushindi umeonekana mbele ya macho yao
Ile ahadi ya bwana mungu hatimae imefika, wote watasema kupitia kinywa chake, na mfano utabaki kuwa ni ule ule wa musa na watu wake wa israel
Wapinzani wamelowa, muda wa kupinga sio sasa, au kama mnaonaje turudi kule tukadai uhuru wetu, na miongoni mwao kuna wale wenye chuki mpaka ya umoja, siwalaumu ni asili yao, na ilipenya vizuri kwasababu ya wivu, sema mbona familia walikubali, mbona wao fresh, kuna madogo wao wanakaa mpaka kwenye nchi za malaika wenyewe
Yote kwa yote, kumbe moja ya akili inayokuja kichwani inachangiwa na hewa inayopita kwenye pua, ni kama shepherd, akishakunusa kesho hakubwekei, unasumbuka kichwa kumbe ni harufu inasumbua, maana kama sauti haikeri, wala macho hayaoni taswira ya kutisha, wewe unafikiri ni nini cha kumpa mnyama stress zaidi ya harufu
Ushuhuda upo wa kutosha, mallya alikubali kufa ili azaliwe kristo, huzuni ya kifo ilikuwa ni kubwa lakini ni moja ya ahadi ya bwana mungu kwa kufuata mtirirko wa maigizo ya kutoka kwenye nchi za malaika, na kuzaliwa kwa kristo ndani ya taifa lililoahidiwa asali na maziwa, kuzaliwa kwake ni ushahidi kwa mungu kwetu kwa kumtoa mwanae wa pekee
Kupokelewa kwa mwanae, kulisaidia katika kuujenga msingi wa awali kabisa, japo kuna wazushi wameanza kuzusha ubaya, ni nani anayependa ujinga yeye au wewe, inakuwaje mmefukua mitaro mwaka mzima ndio mtu anakuja kuwaambia kuwa anasikia harufu, sema hakuna ubaya anawafundisha kunusa kwa kuwanusisha mavi,
Kabla ya kufika kwenye ile nchi kitapita kizazi cha kihuni, hawa watakuwa na maneno mengi kuliko vitendo, kwa maana ndio kwanza wamejua kuimba, wengi watakuwa wahuni, na watu maarufu miongoni mwao watakuwa wasanii, hii ni ishara ya kuwa mungu uu pamoja nasi..
Kujiheshimu sio jadi yao, wengi walishuhudia wema ulivyokiponza kizazi chao cha nyuma, na kosa kubwa miongoni mwao litakuwa ni udanganyifu, hawapendi kudanganywa ila wanapenda kudanganya, hiki ni kizazi jeuri,
Mkifika kabla ya kuishi kwenye haya mapango hakikisheni, mnaondoa utando lakini pia walisema ndani ya pango bado kuna kivuli cha marehemu, ndio maana wafiwa hawawezi kutulia sehemu moja, mzimu bado unasumbua, unajisika wema kwa kutenda ubaya lakini pia unajisikia vibaya kwa kutenda wema, watu wa tamaduni za juu, mungu ni mungu, kisasa ni kisasa, maana ipo juu yako, tumekubali huyu mmoja ametuachia uhuni, kwasababu moja ya sifa yake kubwa ni kugeuza maneno, hajiheshimu, utamsikia akibweka mungu ni mwema, shetani ni mbaya, ni tangu lini wewe mwenyewe ukawa mwema na mbaya kama sio maigizo, na ni nani anayehusika na kuchora mistari,
Ewe nyani wa olduvai, unakataa vipi na una sifa ya upendo, acha upinzani, ishara ya madharau, ni ishara tosha ya mwana wa mungu kukengeuka, ni kwanini hataki tena kusikia au kuona, aliona nini kilichomtatiza,
KIle kizazi cha miaka mia tano nyuma huku bado kipo tuu kama maigizo, ndio kwanza tunaaza kupata wasanii, na wenyewe hakuna anayewapa nguvu ya sikio, mara ya mwisho mama wa makabila aliugua ugonjwa wa nchi ya ahadi badala ya kwenda kwenye kizazi cha kisasa kwaajili ya matibabu akajikuta anaishia kwa mtunza makaburi, na asili kwa kuwa ipo kwaajili ya kuhakikisha ujinga unaadhibiwa kwa njama ni kweli kama tulivyo watu wa kweli alipoteza maisha.
Mungu wetu mpya anaonekana kwa mwili wa nyama, hahitaji jicho la rohoni,
welcome modern thinker,