Where is Tanzanian Education going?

MTIWE MAJUTO

New Member
Joined
May 21, 2013
Posts
1
Reaction score
0
kwanza niseme hellow kwa members wote wa Jamii forum,baada ya hapo ningeanza ku express kile ambacho kimenivuta kuandika ktk suala zima ni wapi elimu yetu inakoelekea.Mwanzo wa miaka ya sitini baada ya uhuru elimu ya tanzania ilikuwa ikipanda yaani ilikua ya mafakio.Ellimu ilkuwa bora na waliohitimu nao walikuwa bora na ndio maana tulipata wasomi bora mfano kama ule wa baadhi ya maraisi waliotoka CHUOKIKUU CHA DAR.(UDSM).Pia wasomi wengi wa wakati ule walipewa mahitaji yote na serikali pale mwanafunzi alipo faulu na kujiunga na Elimu ya upili,hili kwa sasa ningumu hata mimi naungamkono kutokana na wingi wamahiaji ya watu wanaojiunga na Elimu hiyo.Lakini bali ya kuwa hilo limeshindikana lakini bado elimu yetu inazidi kushuka kiufaulu,mfano mzuri kuanzia miaka ya 2000 ufaulu kwa 4m4 umekuwa mmbaya kiasi cha watahiniwa zaidi ya nusu kupata daraja la mwisho(0) mwaka huu wa (2012-2013).Kiukweli hali ktk elimu ya Tanzania ya leo si nzuri kiasi cha serikali kuamua kuyafuta matokeo hayo.Kali zaidi ni matokeo ya kidato cha sita hadi dakika hii hayajatoka na walengwa mioyo iko juu juu kusubiri matokeo hayo ambao hadi leo hii hayajatoka.Migogoro baina ya serikali na Waalimu imezidi kitu ambacho kinazidi kuchangia kushuka kwa elimu yetu.Wito wangu ni kwamba Elimu ya Tanzania itarudi kwenye hadhi yake pale tu maslahi ya WAALIMU yatakapoboreshwa na sio jambo jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…