PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 2,010
Asalam aleykum (a.k.a Shalom)
Kama weekend mbili hivi zilizopita tulikuwa na kijimtoko; mimi hun wangu na some friends in pairs. Sasa jamaa mmojawapo alikuwa single na alialikwa wa hawa wadada coz ni rafiki yao. Wakati tuko kwenye mchakato wa kuogelea nikaamua kutoka one time kuchukua drinks Ile narudi nikamkuta yule jamaa kamkiss kidogo my hun kwenye lips hadharani. Moyo ukapiga pa(hizi presha ndo cjui ukiwa mzee zinakuwa stoke?)! nashangaa watu wote tuliokuwa nao wanaona kawaida, eti ndo uzungu!
Nilipokuwa na hun peke yetu nikamuuliza, I thought friendly kiss huishia kwenye cheeks?
Akanijibu as always nacomplicate mambo kama mara zote nilizoona akiwatext marafiki zake akitumia maneno hunpie, sweetie, my love, mpenzi!
I dont mind pale recipients wanapokuwa wa kike but hata wakiume? Hata rafiki zangu wanaambiwa hivyo! Imefikia sehemu hata nikiitwa hayo maneno I dont spot the difference nayaona hayanifanyi kuwa any special person to her .
Ladies mnijibu please (Hata gents wenye uzoefu wao), what words do you reserve for your special one? Kiss za friends huishia wapi? Manake huu uzungu nakoma nao mbona?