Which African city has the most beautiful skyline?

Umekimbia Dar es salaam vs Nairobi baada ya kipigo ukaamua ufungue hii. Lakini ndo unapata kipigo kikali zaidi. Poleee.
JOHANNESBURG

NAIROBI
DARESALAAM

LUANDA

CAIRO

KAMPALA

CASABLANCA

KINSHASA

LAGOS
 
jinga ni wewe ulivyo hapo tu...watu wa kutetewa hawa...bure kabisa! leta zako sio za mwenzio....watu wa kubusu waafrika kusini miguu kana kwamba hamna lenu....mwadhani hatujawatambua..hehe!
Unaona ulivyo pumbavu? sasa ulitaja africa ya nini kama ulitaka tuwasifie?
Which kenyan city the most beautiful skyline?
Tungetaja ya kenya ila kwa vile ulisema africa tutataja ya africa na haipo kenya. Thats a fact deal with it!!
 
Harare ipo Africa kimakosa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
M
umekosa picha za Dar? ama wewe mwafrika kusini? yaani mnachekesha kweli....ukishindwa unaanza kuleta picha za Joburg...ila najua unachotaka kufanya...thread ya January hii umeiamsha makusudi...nimekusoma mapema bro
Mwambie tutakula sahani moja,yeye apandishe mzuka wachezaji tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…