Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jan 4, 2026 #1 FAFO kumbe ni project ambayo sasa kila ditekta kama mfano wa maduro inakuja kwake. Wamarekani washasoma mchezo sasa nchi nyingi raia wa nchi za maditekta wanakosa haki na democracy. Hii project nimetonywa na endelevu ndio maana leo umeona Umoja wa afrika wamekuja kimbele mbele 😁 nao wanakemea kilichofanywa. FAFO kwa ajili yenu maditekta. Binti msumi wenzako wanakuja kunyolewa
FAFO kumbe ni project ambayo sasa kila ditekta kama mfano wa maduro inakuja kwake. Wamarekani washasoma mchezo sasa nchi nyingi raia wa nchi za maditekta wanakosa haki na democracy. Hii project nimetonywa na endelevu ndio maana leo umeona Umoja wa afrika wamekuja kimbele mbele 😁 nao wanakemea kilichofanywa. FAFO kwa ajili yenu maditekta. Binti msumi wenzako wanakuja kunyolewa
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,225 Reaction score 83,181 Jan 4, 2026 #2 Waje bongo
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jan 4, 2026 #3 Waende na iran wakamnyakue ayatollah
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jan 4, 2026 Thread starter #4 LOTH HEMA said: Waende na iran wakamnyakue ayatollah Click to expand... Huyo wanasubiria kibra ifike waje kumtoa na bunjabi kiunoni.
LOTH HEMA said: Waende na iran wakamnyakue ayatollah Click to expand... Huyo wanasubiria kibra ifike waje kumtoa na bunjabi kiunoni.