which district you prefert to work?

which district you prefert to work?

Tekenya

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
67
Reaction score
9
Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz.
 
[h=2]which district you prefert to work?[/h]
Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz.​

Last edited by Tekenya; Today at 15:21.​
 
sijawahi kufika hata moja ila nahisi kiteto bomba comperatively!!!:rolleyez:
 
Nimefanya kazi mireran simanjiro pia nimetembea kiteto kama kazi inakulipa nenda kafanye mbona wengine wanafanya ndugu maisha popote bora kipato kiwe kinakutosheleza
 
Jana limezingumzwa hilo la kupeana kazi kwa kujuana yaani imeambiwa uchague! Halafu hiyo prefert ndio nini au na yenyewe ni wilaya?
 
Back
Top Bottom