Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz.

Nimefanya kazi mireran simanjiro pia nimetembea kiteto kama kazi inakulipa nenda kafanye mbona wengine wanafanya ndugu maisha popote bora kipato kiwe kinakutosheleza