Sasa hi si ndo hatari kwa Maukimwi kuliko kuoa/kuolewa?hapo mkuu umenena kuna hii kitu inaitwa "Friend with benefit" yaani
"Friends with benefits is an agreement between two people who are both friends and physically attracted to one another to have a sexual relationship. Neither party is considered committed to the other, and both can start dating someone else at any time with no prior warning. A friends with benefits arrangement is not considered dating, a relationship, or even casual dating by most people who use the term."
yaani umeongea ukweli mtupu....im so happily married and i thank God everyday for blessing me with my spouse....Dadangu hakuna kitu kizuri kama maisha ya ndoa(kama ukipata ubavu wako), ila ukikosea au ukaolewa kama fasheni tu, maana siku hizi mtu anaolewa kwasababu kaona umri unaenda, au rafiki zake wote wameolewa au kafata kitu fulani(like pesa na vitu kama hivyo), sasa ukiolewa kwa sababu kama hizo hapo, stress utazikwepa vipi au utaenjoy vipi? maana hapo hakuna mapenzi ya kweli. ukimpata yule wa kwako kabisa(ubavu wako) utajiona ka uko peponi maana mnapendana kwa dhati na kwenye penzi la dhati hakuna kuumizana wala nini, ni kujiachia tu na raha!