Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
I have been working on a number of literal projects in the past few years and I think its about time to get published (fiction works and non fiction). Mojawapo ya mapendekezo ambayo nimepatiwa ni kuchapisha aidha Kenya au China huku gharama na ubora ikiwa ni sababu kubwa.
Hata hivyo, nimepata kusoma vitabu ambavyo vimechapishwa Tanzania ambavyo navyo vina ubora mzuri tu (hata wa kimataifa naweza kusema). Tatizo kubwa nasikia ni gharama.
Sasa najaribu kuangalia options zangu. Naomba kama kuna mtu anaujuzi wa kutosha kuhusu publishing companies za Tanzania. Sitaki majina makubwa naangalia hasa kampuni ambayo tunaweza kuwa na uhusiano nao wa muda mrefu kati ya mtunzi na mchapishaji.
Kama kuna wachapishaji wasiliana nami kwa anuani ya barua pepe hapa chini. Thanks.