Which is Tanzania's Best Publishing Company?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
I have been working on a number of literal projects in the past few years and I think its about time to get published (fiction works and non fiction). Mojawapo ya mapendekezo ambayo nimepatiwa ni kuchapisha aidha Kenya au China huku gharama na ubora ikiwa ni sababu kubwa.

Hata hivyo, nimepata kusoma vitabu ambavyo vimechapishwa Tanzania ambavyo navyo vina ubora mzuri tu (hata wa kimataifa naweza kusema). Tatizo kubwa nasikia ni gharama.

Sasa najaribu kuangalia options zangu. Naomba kama kuna mtu anaujuzi wa kutosha kuhusu publishing companies za Tanzania. Sitaki majina makubwa naangalia hasa kampuni ambayo tunaweza kuwa na uhusiano nao wa muda mrefu kati ya mtunzi na mchapishaji.

Kama kuna wachapishaji wasiliana nami kwa anuani ya barua pepe hapa chini. Thanks.
 
Nadhani Oxford university press wako poa

au Mkuki na Nyota ila sijajua wana chaji how much

unless unataka kuwa kama guerilla uprint direct...option hiyo nayo ipo

si unajua wengine tumeingia kwenye ujasiria mali siasa tumegundua zitatufilisi
 
Lakini na Content nayo inatazamwa sana kwa wachapishaji wa bongo.Kama kuna mambo ya vileo kuna wengine hawachapi,kama kuna ukosoaji wa serikakali pia wengine wanagoma.

Nadhani bora ukachape nje ya nchi
 
mimi pia natafuta kuchapa kitabu changu, lakini kwenye hawa wachapishaji uchuro wanaochapa vitabu vya wanafunzi wa sekondari kam akina nyangwine etc..nitajieni mchapishaji mzuri ndugu zangu...wa bei ya chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…