Konakali JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 1,533 Reaction score 266 May 13, 2011 #1 Mpenzi wako anakuambia; "I am missing you dear". Je, wewe wapaswa kumjibu vipi? Thank you for missing me Sorry for missing me
Mpenzi wako anakuambia; "I am missing you dear". Je, wewe wapaswa kumjibu vipi? Thank you for missing me Sorry for missing me
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 May 13, 2011 #2 Asante kama umefurahia.....pole kama unamuonea huruma!
KWI KWI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 286 Reaction score 84 May 13, 2011 #3 Duh....mkuu mpaka sasa haujui jinsi ya kumjibu mpenzi wako?Nini kimetokea mpaka wahitaji majibu ya hiyo statement?Funguka kidogo... Then nitaludi.....
Duh....mkuu mpaka sasa haujui jinsi ya kumjibu mpenzi wako?Nini kimetokea mpaka wahitaji majibu ya hiyo statement?Funguka kidogo... Then nitaludi.....
mzurikwetu Member Joined Mar 21, 2011 Posts 68 Reaction score 4 May 13, 2011 #4 duh kama vp unapiga kimya unaanzisha story ingneeeeeeeeeee
Pearl JF-Expert Member Joined Nov 25, 2009 Posts 3,036 Reaction score 319 May 13, 2011 #5 me you too bby wangu,la hubba,laazizi wa moyo wangu,kirutubisho changu cha mwili(lkn kama una mmiss kweli,sio unajibu tu coz unatakiwa ku reply)
me you too bby wangu,la hubba,laazizi wa moyo wangu,kirutubisho changu cha mwili(lkn kama una mmiss kweli,sio unajibu tu coz unatakiwa ku reply)
M Miss Pirate JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 305 Reaction score 75 May 13, 2011 #6 I miss you too as you do dearest.
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,229 Reaction score 13,442 May 13, 2011 #7 Kama ameajiriwa unamjibu kazi inaendeleaje na kama anasoma unamuuliza habari ya masomo
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 May 13, 2011 #8 Ok .. me 2
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 May 13, 2011 #9 Kama anakuambia "I am missing you" na mpo hapo hapo wote, basi anakosea. Au anakupasha. Kama ni kwa simu au kwa ujumbe, jibu huwa si katika hayo yote uliyoyaweka. Aidha na wewe unamiss au aendelee tu kukumiss. Na kama mpo pamoja, mpe.
Kama anakuambia "I am missing you" na mpo hapo hapo wote, basi anakosea. Au anakupasha. Kama ni kwa simu au kwa ujumbe, jibu huwa si katika hayo yote uliyoyaweka. Aidha na wewe unamiss au aendelee tu kukumiss. Na kama mpo pamoja, mpe.