Wakuu wa hii kaya. Naomba msaada wenu kwa kunijuvya ipi ni degree nzuri kwa mtu aliyechukua HGE kwa advanced level na kufaulu vizuri. Na maanisha ipi yenye future nzuri na prospect ya kupata ajira na further studies.
Ushauri mzuri kasome education masomo ni economics and geography. Ila kama unakifua mbele ya ajira kasome ba economics and statistics kozi nzuri sana ila tatzo ajira ndugu.
kama huna uhakika wa kaz ukimaliza chuo, we soma bachelor of education ukispecialize kwenye masomo ya biashara kama commerce, accounts, e.t.c, ila kama kwenu mambo safi na uhakika wa ajira upo, somea bcom ama bba ukispecialize either accounts, marketing, management, hr au procurement. kila la heri