Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Habarini natumai wote mu wazima hapa nimeusukuma huu uzi ili tujuzane kipi bora kwako kati ya blue mode katika jf na dark mode kiupande wangu dark mode ni bomba sana kila secta katika simu yangu ni dark wewe jeee????