hi there! which is the best university in tanzania and the best course ,nimemaliza form 6 na nilikuwa nasoma combination ya eca.please members help me ...
Best katika nini mkuu? Majengo? Kufundishi? Migomo? Kama kufundisha hata vyuo vya mitaani vipo wanaweza wakakufundisha na ukawa mzuri. Kama Majengo mazuri nenda UDOM.
ILA KAMA UNATAKA KUSOMA UNIVERSITY NENDA UDSM.
mkomamanga said:kwa aliyesoma masomo ya ECA the best university in SAUT, maana walianza kufundisha mambo hayo tangia zamani wakiwa NTC, nenda hata Bodi ya Uhasibu watakueleza akina nani wanafaulu mitihani ya bodi yao baada ya kumaliza university. Kama ukikosa SAUT nenda Mzumbe ndo wa pili katika utaalamu huo wa uhasibu. SUA, UDSM, UDOM etc wote katika hilo si wa kwanza. Kama wataka kubadili fani na kuingia uhandisi wa aina yoyote, basi UDSM, Kilimo jaribu SUA ila nahisi ni wazuri kwa 'nutrition' zaidi kuliko mifugo na kilimo kwa ujumla. Vinginevyo kujiunga na vyuo waweza kuomba pia ushauri TCU.
Mawili, ushabiki na hisia ulizonazo juu SAUT au hauna takwimu. Hapa Tanzania hakuna chuo kinachowazidi wazidi wahitimu wa UDBS au FCM zamani kwa ufaulu kwenye mitihani ya NBAA.
kwa combination yako ndugu, nakukaribisha Chuo Kikuu Mzumbe. vyuo vingine vyote, vinafuata tena kwa mbali! huku tuna BAF, BBA MKT, BBA PLM na BBA ED. unaanza ku-specialize ukiwa mwaka wa kwanza, achana na vyuo ambavyo mpaka unachaguliwa hauijui future yako.
U have said it all!Ukiuliza kipi ni chuo kikali zaidi bongo,utapata jibu la uhakika. Kwa sababu kila mtu atasifia chuo anachosoma au alichosoma. Au chuo chochote ambacho ana maslahi nacho. Alafu ukiuliza ipi ni course nzuri ya kusoma,hapo inategemea moyo wako unapenda nini na unahitaji nini. Ila inaonekana wewe unapenda masomo ya biashara kutokana na Combination yako ya A-level. Hivyo tafuta vyuo ambavyo vinatoa course hiyo kisha chagua utakachoona kinafaa.
Hivi ndizo sifa za vyuo vya bongo utaangalia usome wapi
1.kama unapenda utozi na kuuza sura na kuangalia masistaduu----ifm,cbe,tumaini na mzumbe
2.kama unapenda kuandamana na unapenda migomo----udsm na udom
3.kama unapenda kusoma na ukimaliza hupati shida ya ajira---dit,coet and mist plus muhasss
4.kama hupendi kusoma na unapenda kupiga starehe halafu siku za pepa unafaulu ili mradi umemaliza ada--sauti,mzumbe,iia,learn it,kampala na tumaini
5.kama unapenda kusoma chuo huku umevaa uniform----veta
sasa angalia unapenda wapii
Hivi ndizo sifa za vyuo vya bongo utaangalia usome wapi
1.kama unapenda utozi na kuuza sura na kuangalia masistaduu----ifm,cbe,tumaini na mzumbe
2.kama unapenda kuandamana na unapenda migomo----udsm na udom
3.kama unapenda kusoma na ukimaliza hupati shida ya ajira---dit,coet and mist plus muhasss
4.kama hupendi kusoma na unapenda kupiga starehe halafu siku za pepa unafaulu ili mradi umemaliza ada--sauti,mzumbe,iia,learn it,kampala na tumaini
5.kama unapenda kusoma chuo huku umevaa uniform----veta
sasa angalia unapenda wapii
kama unapenda kusoma chuo ukiwa gorofani unaangalia wauza sura na watu wanaopenda kuzuzura mlimani city----arthi university
hi there! which is the best university in tanzania and the best course ,nimemaliza form 6 na nilikuwa nasoma combination ya eca.please members help me ...
Umejitakia mwenyewe, angalia wanavyokukejeli. Tumia mtandao huu tafuta Bachelors Course Business au Commercial Studies Tanzania, au gonga Accounting Degree Courses tanzania, finance etc. Tembelea tovuti ya TCU wana orodha ya kozi zote zitolewazo katika Vyuo VIKUU Tanzania. Chuo gani Best! Universities sio kama primary and secondary schools! Zile ranking wanazotoa hazihusiani na ufundishaji bali ni uchapishaji wa majarida ya kiweledi na wahadhiri wa vyuo.
Lakini nikuchomekee hii- Ardhi University wanazo kozi mbili zenye mvuto sana Bachelors Degree in Accounting and Finance na nyingine Bachelors in Community Development pia wanayo ya BA Economics, na kama utakuwa umepasi hesabu unaweza ukajipiga kifua kwenye BSc ya Real Estate Finance and Investment au BSc Property and Facilities Management(lakini naona unaogopa hesabu!)
Yaani bongo tuna safari ndefu sana, yaani kusoma kwa shida ndo chuo kizuri kwa kufanyishwa mitihani migumu, nani amekwambia havard wanadisco watu na wanaoenda sio kama mnavyodhani, elimu bora ni kukujenga kuweza kupambana na changamoto za maisha, that's why usa wanaongoza kwenye higher learning japokuwa tenager wa huko ni goodtimes and having fun daily, to prove this hata watoto wa big families nyingi wanasoma usa na wanaleta changes nchini kwao, check wikipidia family like toyota their kids wanasoma wap, dada mwenye htc company na wengineo kibao, elimu sio kufanya mitihani migumu wadau