hiyo dit na vingine ulivyovitaja vinatoa ajira moja kwa moja au bado ni husteling ya mtu!anyway sijasikia MUCCOBS cha moshi!pia kama ninahitaji chuo chenye wapendwa na ibada ni kp?
kwa aliyesoma masomo ya ECA the best university in SAUT, maana walianza kufundisha mambo hayo tangia zamani wakiwa NTC, nenda hata Bodi ya Uhasibu watakueleza akina nani wanafaulu mitihani ya bodi yao baada ya kumaliza university. Kama ukikosa SAUT nenda Mzumbe ndo wa pili katika utaalamu huo wa uhasibu. SUA, UDSM, UDOM etc wote katika hilo si wa kwanza. Kama wataka kubadili fani na kuingia uhandisi wa aina yoyote, basi UDSM, Kilimo jaribu SUA ila nahisi ni wazuri kwa 'nutrition' zaidi kuliko mifugo na kilimo kwa ujumla. Vinginevyo kujiunga na vyuo waweza kuomba pia ushauri TCU.
Kulingana na ranking za Tanzania udsm ndo the best universirty,ila kulingana na combination yako ya ECA naona unapendelea masomo ya biashara,kwa hivyo nakushauri ukasome Mzumbe BAF,sema uwe na uhakika wa kupata div 1 point 3 had 6,kwa hilo halina ubishi ktk uhasibu mzumbe is the best university na ndiyo maana katika mitihani ya ACCA chuo klichopunguziwa mitihani ni Mzumbe tu.,au nenda UDSM au UDOM ingawaje wengi wanakidharau bt lecturer wengi wa pale hasa department ya accounting,business administration ni graduates wa Mzumbe na Udsm
aah aah kama anataka university.....
u'v said a point mdau.
Unakuwa mtu mzima lakini kwa speed ya kobe.
Nenda Mwenge na posta jioni uone wenzako wa UDSM wanavyozunguka na bahasha na kubaki kusema wana elimu bora.Usimpoteze mwenzako kwa tambo na majigambo yasiyo na msingi wowote. Mpe ushauri kwanini UDSM unaona ni bora ili afanye uamuzi sahihi.by mr speed
UDSM TU VYUO VYINGINE NI VYA KATA .UNAMAINDI KUSOMA YEBOYEBO? NENDA
Hakuna chuo bora Tanzania Kama unao uwezo nakushauri ukasome Kenya cause all of their university are the best in the region but Kama ni Tanganyika Vyuo vinavyojitahidi ni SAUT Mwanza then Mzumbe! Why SAUT? Cause it is incorruptible institution in Tanganyika! And why Mzumbe? Cause it is the less corrupted public institution remained in Tanganyika.
Hakuna chuo bora Tanzania Kama unao uwezo nakushauri ukasome Kenya cause all of their university are the best in the region but Kama ni Tanganyika Vyuo vinavyojitahidi ni SAUT Mwanza then Mzumbe! Why SAUT? Cause it is incorruptible institution in Tanganyika! And why Mzumbe? Cause it is the less corrupted public institution remained in Tanganyika.
nashukuru kwa ushauri wenu,lakini naomba wale wanaosoma ua walisha soma chuo wanipe weaknesses na strengths za chuo zao,please be open ili nipate picha halisi.