wewe unaonaje? Na uliokuwa nao wamekuzid au umewazd au unalingana nao?ni vizuri kuwa kwenye mahusiano na mtu aliekuzidi umri au mlio sawa au mdogo zaidi yako
basi jalibu kumpenda yoyote kat ya hao ndo utajua yup ni yup na anafaa vpsijawahi ndo nataka nianze dats y imebidi niulize kwanza
ni vizuri kuwa kwenye mahusiano na mtu aliekuzidi umri au mlio sawa au mdogo zaidi yako