which one do you prefer?

which one do you prefer?

situmai

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
85
Reaction score
18
which car do you prefer between spacio new model and opa and why? tusaidiane jamani
 
sina hela ya gari kwa sasa labda toyo..............
 
audi-q7-abt.jpg

Audi Q7
 
I prefer OPA, I used it for a year. It good car, fuel consuption and space is the same, but OPA is good compared to Spacio.
 
mh hl si jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na urafiki.....................??????
 
which car do you prefer between spacio new model and opa and why? tusaidiane jamani

Mpendwa hili si jukwaa lake, lakini kwa ushauri, (ingawa pia muonekana na mvuto wa mtu kwenye gari unategemea macho ya mhusika mwenyewe) mi binafsi ningechagua Spacio new model kwa kuwa ina injini ndogo na pia ni VVT-i (ina matumizi mazuri ya mafuta)( injini ni 1500cc-1800cc). OPA ina engine kubwa zaidi (1800-2000cc). Na kwa muonekano, kwangu Spacio ina muundo mzuri zaidi!

Jambo la msingi ni kununua kitu ambacho roho yako inakipenda zaidi maana ninachopenda mimi sicho unachopenda wewe ila kumbuka pia na bei ya mafuta, ni vyema kununua gari yenye injini utakayoweza kuinywesha mafuta na ambayo haitakuwa mzigo kwako.
 
Napenda Spacio New model... Unataka kuninunulia??
 
mkuu huu uzii wako ni mzuri sn ila ungeupeleka sehemu husika wachangiaji ungewapata wengi sn na siyo humu.
 
If you are not going to marry the car then this is not the place
 
I prefer BMW,vp unataka kutoa ofa au?
 
Back
Top Bottom