Habari wana mmu. Naomba wenye uzoefu namalorry aina yaScania itakayofaa kwakazi yakubeba kokoto namchanga ni ipi kati ya 113h,112h, 114h 93m au 93h 124L hapa nahitaji ulaji mafuta , service, upatikanaji waspare ,nguvu nagearbox imara zaidi . Ukubwa wamzigo 10 cubic metres.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums