white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
1,361
Reaction score
401
Habari zenu wanajf nimeingia jamii forum ni blog nnayoipenda pia huniondolea stress,nikaribisheni jaman
 
Karubu sana Muona nitonye Atakuwa mwenyeji wako atakutembeza maeneo yote ya JF
 
Nashukuruni sana kwa nyote mlionikaribishaaa,huyo nitonye anitafute bas aniongoze etiiii
 
Karibu sana JF...

Ila mbona jina na kipicha chako havishahabiani?
 
Naomba nielekeze jinsi ya kufuta thread

Ukishaandika huwa haiwezekani kufuta...ila unaweza kufanya editing tu!!

Ukitaka thread ifutwe, tuma Private Message kwenda kwa mtu anaitwa Invisible au Moderator

Hao ndio wenye uwezo wa kufuta sredi
 
Last edited by a moderator:
Ukishaandika huwa haiwezekani kufuta...ila unaweza kufanya editing tu!!

Ukitaka thread ifutwe, tuma Private Message kwenda kwa mtu anaitwa Invisible au Moderator

Hao ndio wenye uwezo wa kufuta sredi

Ahsante sana broo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…