ahahaha...sie mijitu mingine bwana. sasa wewe mwenzetu utoke wapi kuja kutuletea mitazamo yako tuijadili?....kwanini unataka tujadili MTAZAMO WAKO wa kimapenzi?...huoni kuwa hujatumia busara kutujadilisha mtazamo wako ambao naona unavyosimama kidedea kuutetea....napendekeza next time usirudie tena kufanya hivyo.
walalallalalaaa! thanks my sisto for this...its pure BS...nashindwa haswa great thinkers wa JF wana time ya kujadili hili! come on guys!
i think you who posted this topic need to learn.......open forums haina maana u just post coz u feel like posting ila post vitu vya maana.......kama walotangulia walivyosema this is pure BS!!!!!!
i don't know whts ur problem ..can u xplain ur problem?
Kwa jinsi mjadala ulivyo, inaonesha Evy kashuka bongo ama anatarajia kushuka na kibibi cha kizungu and so anataka apate maoni yetu. Wabongo bwana na wazungu, madada zetu na vibabu, masela nao na vikongwe kisa nani alipe bill. Evy point yake kubwa ni who should pay the bill, if you read his words between the lines!
Jamani huyu jamaa mbona kama amekuja kisharishari yaani anajibujibu tu hata hafikiri.
Jamani inawezekana jamaa nafanya utafiti kama tutamsport na kidemu chake cha kizungu.
Watu wengine wanafikiria kuwa mapenzi ni uniform za shule ya msingi hata hizo zinatofautiana.
wazungu sio ishu wala nini, kwanza ngozi zao kama kitimoto!, black are beauty bwana, alaa.
i just can help u with ur poor reasoning u know? did u read the first post of this thread?evy....i guess unamiss "n"...uwe envy.....hapo sasa tunaweza kukuelewa vizuri...sio busara bwana envy kuwajadilisha watu hisia zako...unawashirikisha tu....
sasa unataka tuseme nini na wewe ushasema they r hot?...ndo ushampenda mzungu sasa sie tufanye nini?...sio busara kujadili conclussion yako...nakumbuka mwanazuoni m1 wa hapa jf aliwahi kusema conclussion is the best state for the tired mind...like urz...umechoka kufikiria then ukatoka na conclusion that whites r hot...sie tufanye nini sasa?...
unataka tu-justify uchovu wako wa kufikiria?...sema wataka sie member tujadili nini katika thread yako hiyo...hakuna cha kujadili in short...na open forum sio sehemu yakujadili kila upuuzi...
hii thrread yako ulitakiwa uwasimulie masela wenzako kijiweni baada ya kula ndumu zikawatosha ndo unaitoa hii maana mtabishana kibangibangi na mtaondoka bila jibu sahihi...hapa kaka envy umekosea kuileta we are great thinkerz kaka...NATUMAI SIJAKUKERA SAAAANA.
what r u guys thinking? am i wrong? or right? or?
whats ur experience on this x-cutting world?
Dogo skiza...mtafute mtu mwenye upeo wa kuelewa msimulie then yeye aje hapa atuandikie thread ili tuijadili...mbona unachukuwa mwaka mzima kuelewesha watu ulichotaka kuandika?....maana halisi ni kuwa hujaeleweka unataka kusema nini ndo maana majority tunaona umeandika upuuzi usiofaa kujadiliwa...
YOU ARE VERY RIGHT BRODA, NO BODY EN I MEAN NO BODY HERE CAN UNDERSTAND A SIMPLE TOPIC LIKE THIS... BECAUSE YOU ARE IN A WRONG FORUM BRO, FORUM INAYOKUFAAA NI ZE UTAMU, UNLESS U DIDNT SEE JAMII FORUM IS THE HOME OF GREAT THINKERS AND NOT OF DIM - WITTED,DULL,SLOW THINKERS.mh..am confused here!!!
I dont how many people out herre can understand a simple topic like this..geeezz.
roughly speaking i have been exposed to girls from different groups. i mean u kno wht i mean?
but i have come to one conclusion..i would rather prefer to end up with white girl..(yes i said it u heard it!) i will hold my cards for tht inference..at least for now..until the right time.
what r u guys thinking? am i wrong? or right? or?
whats ur experience on this x-cutting world?
mh..am confused here?! u said desisted but u actually went on to participate in it ..so what exactly was ur point? madam?
let me go down to ur 'questions'
1. i mean.. thts a sign of inferiority complex.nothing less.did i say i want to accomplish anything here? did i?
did i say i 'did' i white girl?only? and even if i 'did' them does tht offend u? c'mon..this is crap. as a matter of fact i didn't say about only being exposed, am rather taking about a larger picture, my preferences, some which r based on my own experiences and adventures .ok? wht u need to do is to show the other side of my preferences with reasons,tht will be an input to the thread.not otherwise.
2. ur second bullet is also zero input to the thread.whether its a big deal or not its out of equation.
3. ur third bullte is out of topic and myopic enough. next time its best if u check the context of thread first..
i dont how many people out herre can understand a simple topic like this..GEEEZZ.
and wht is the concept..ma'm?pole ndugu..it will take a whole semester to make u understand simple concept.
YOU ARE VERY RIGHT BRODA, NO BODY EN I MEAN NO BODY HERE CAN UNDERSTAND A SIMPLE TOPIC LIKE THIS... BECAUSE YOU ARE IN A WRONG FORUM BRO, FORUM INAYOKUFAAA NI ZE UTAMU, UNLESS U DIDNT SEE JAMII FORUM IS THE HOME OF GREAT THINKERS AND NOT OF DIM - WITTED,DULL,SLOW THINKERS.
THATS WHY THEY ARE ASKING FOR DATA AND SOURCES COZ HAWAKURUPUKI TU KAMA ULIVYOKURUPUKA.
no offense just outlining the facts for you broπ!!
Ukitaka kujua wewe hujaleta kitu cha maana kwa category yoyote ya jamii, angalia idadi ya wachangiaji wanavyokuponda.Wewe si mtaalam wa research?...going by the contributions posted here, what are ur findings so far?