Rasib
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 395
- 45
Yeyote mwenye picha hasa zinazo relate na topic please njoo nayo ili tujadili maana kila mtu utakaye muliza nani mkali kati ya mzungu na mwafrika hasa garls atakwambia mwafrika a.k.a Bantu garls....je kuna ukweli? Kama ndiyo leta hoja ikisaidiwa na Picha!..nawasilisha
