Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Full Moon ritual
Universe Manifestation
Laws of Attraction
Medium
Astrology
Palm reading
Kwa kibinadamu zaidi, hizi hatua huonekana hazifungamani na roho yoyote.
Ni hatua zisizoonekana kuwapigia magoti fallen angels au kuwa mlokole au kuwa "shaheed"
Ila uhakika ni kuwa unfanya black magic bila kujijua. Pale unapoamka usiku wa full moon na kusema "may you grant me fully as your fullness , shine on my life as youe shineness" utambue kuwa kuna bwana unaezungumza nae maana kiuhalisia mwezi hauna nguvu yoyote ya ku-grant majibu yako ila ni spirits ndizo zinafanya hivyo.
Kuna watu wanasema wana meditate huku wakiwa wanaomba universe iwafanyie abundance na kuishukuru kwa abundace hio. Does the universe hold that power? No.
Hizi ndizo codes zilizogunduliwa au kuwa granted na fallen angels kwa watu. Kwa maana fallen angels walisambaratishwa hoe hae sasa hauwezi kuwafikia kiraisi au straight, bali ni mkakati , na mkakati huo ni codes, codes ndio hizo mnazo pewa kwa nyie msiokuwa na chapa ya mnyama inayopewa watu special kwa ajili ya nguvu ya kufanya black magic.
Tunafundishwa kuwa tuna nguvu ndani yetu ya kufanya mabariko hayo yasiokuwa ya kawaida, kwamba tukiconcretrate, meditate, huku tukiwa tumewashaa mshumaa kupnesha nuri, focus, tukiwa grateful huku tukiamini tunayoyataka kuwa yameshatimia basi yatafanyika kiuhakika. Ni njia inaonekana ya kibindamu zaidi ila kiuhakika ni kuwa kuna nguvu tunayozungumza nayo na itakugrant vile unavyotaka lakini at its own manner and nature.
SOMA PIA:
www.jamiiforums.com

Black magic with a full powerful prowess inachaguliwa kwa wachache
Wale malaika wakuitwa waovu, wenye vipaji vingi na tofauti. Wale viumbe waliokuwa takatifu, wenye talanta na ustadi. Walijawa siri na funguo za codes nyingi, walijawa maarifa na miujiza, ila nafsi zao hazikuachana na giza, roho zao hazikuachana na hila, mioyo yao haikuachana na kisasi. Siku...