White Paper

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2008
Posts
777
Reaction score
50
Jana nilibahatika kuangalia hotuba ya mkuu wa kaya aliyoitoa katika mkutano mkuu wa UWT,katikati ya hotuba yake alikosa neno la kiswahili la white paper,akamuuliza Seif Khatibu nae akachemsha.Naomba tumsaidie mkuu wa kaya,neno la kiswahili litakalotumika badala ya white paper.
 

Si angesema tu 'karatasi nyeupe'!🙂 Joke! Ngoja tusubiri, JF kubwa tutapata majibu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…