Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuheshimiane jamani, wengine hawa dada zetu na namjua mmoja ni member wa JF
hakuna member wa JF hapo
taratibu jamani duh..Haya manamake yatakuwa yanaokota uchafu kwenye barabara za london na kuosha vyombo kwenye mahotel!!!
sasa mkuu ulitaka wafanye nini? Waache ni maisha yao na familia zao