white party in london,wabongo wanauza sura...

sasa mkuu ulitaka wafanye nini? Waache ni maisha yao na familia zao
 
Na kama ni biashara inayolipa........walete huku pesa ya malikia:becky:
 
mbona ni mifukunyuku tu hata haivutii!
 
Sura uso au sura maeneo ya mwili karibu na nyeti
 


FULLL KUJIACHIA "MIJI MWILI", MISOSI KAMA KAWAIDA!!!
 
Tuheshimiane jamani, wengine hawa dada zetu na namjua mmoja ni member wa JF
 


FULLL KUJIACHIA "MIJI MWILI", MISOSI KAMA KAWAIDA!!!

watu wanafurahi nyie mnawasema life is too short bwana endeleeni bwana kwanza mko mbali na home mnapokutana pamoja inakuwa Bomba sana
 
Napenda manundu... sipendi vijipu... sipendi vijipu.. vijipu uchungu...!!! Mwanyaona manunduzzzzz?:becky::becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…