ni kosa gani kwenda paty mara moja moja inapotokea?watu hapo bongo mnastarehe jumatatu mpaka jumatatu hatusemi,watu wanalewa mpaka muda wa kufanya kazi hamna anayepiga kelele,mnashinda kwenye ma-club na madansi usiku kucha hatusemi,mchana mkienda lunch mnalewa mkirudi makazini mnaishia kuomba rushwa na kutukana watu wanaohitaji huduma maofisini hatusemi.watu wameenda tu white party basi wanauza sura,wazee,wanafagia barabara etc,wabongo tuacheni uchawi na roho za kwanini mnakera sana.:shut-mouth::angry: