White Party ya wabongo

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
They should have done it nje hivi kwenye uwanza wa Polo or something like that...time za Jioni kwa ajili ya Charity badala ya kuifanya ndani kwenye bar wamebanana na hakuna nafasi ya kupumua halafu usiku



http://issamichuzi.blogspot.com/2009/08/white-party-ya-mr-gonga-na-jp-yafana.html#comments

Si mbaya kibongo bongo maana huu ni wakati wa watu wa JUNE/JULY kwenda kutanua na kama mjuavyo wengi wao washaoa, wanakimbilia kwenye u middle age na wana watoto wa kulea ndio maana safari zao ni JUNE JULY maan skuli za watoto zimefungwa

si mbaya lakini
 
Oooh puliiiiiiiz.....kila kitu sisi kuiga iga tu. Hakuna creativity hata kidogo....next tutaanza kuwa na nude beaches....swingers....trannies....you name it!
 
Oooh puliiiiiiiz.....kila kitu sisi kuiga iga tu. Hakuna creativity hata kidogo....next tutaanza kuwa na nude beaches....swingers....trannies....you name it!

wangefanya under auspices ya charity fulani hivi you know something proper..somewhere kama Gymkhana club watu wacheze polo wanetwork na kadhalika ndio ma middle class wetu hao
 
wangefanya under auspices ya charity fulani hivi you know something proper..somewhere kama Gymkhana club watu wacheze polo wanetwork na kadhalika ndio ma middle class wetu hao

Hhhmmmm...I guess.....

But also they could have had it anyhow they wanted it....with (any) or without (any) purpose...
 
wamejitahidi though,i was worried labda majority wangetokea without whitee ila naona wacxhache wametoka wamevaa jeans ya blue na shirt jeupe na wengine complete coloring.

Hivi kwani hii wamefanyia wapi kwenye ile lounge ya Kempiski?.wangetafuta lounge moja classic like top roof nice with tv everywhere nice couch,i am talking about mandhali yake iwe bomba na ingekuwa all white but grown and sexy meaning no under age watu wazima tuu ingekuwa very alright!.Next time inabidi wa-consult ma promoter wanaojua kazi zao tsk tsk tsk tsk tsk.

Anyway job well done so far so good kwa kibongo bongo.
 

Nah! nadhani ni pale Movenpick

Lounge ya Kempisky ovyo sana imekaa kama airport lounge bwana!

this is how Diddy does it

 
Oooh puliiiiiiiz.....kila kitu sisi kuiga iga tu. Hakuna creativity hata kidogo....next tutaanza kuwa na nude beaches....swingers....trannies....you name it!
nakubaliana na wewe sometimes shem wangu una akili......
mie hivi viparty vya wanaojiita wenye mji vinanikera ati wanadai financial crisis haijawapata....

kwanini wasiandae tamasha la kuchangia yatima? yaani mpaka mzungu atoke london aje kutoa msaada kwa yatima? mitanzania kweli haina akili
 
Okay toa thanks basi hapo juu...
unaikumbuka hii mashine yawezekana kule zeutamu ilikuwa inatuma picha yenyewe....


leta mi benjamin kadhaa ni wewe tu.....
 

Attachments

  • DSC05222.JPG
    27.4 KB · Views: 1,071
Ooo Mange Kimambi.....mashine yake ishaenda mileage sana hiyo hadi imeota sugu...siitaki mimi
 
Ooo Mange Kimambi.....mashine yake ishaenda mileage sana hiyo hadi imeota sugu...siitaki mimi
bwa ha ha ha kumbe hukuwa mdau mzuri wa blogu ya jamii zeutamu.....sio mange huyo.......
 
serekali inakataza dawa ya kunenepesha MAKADI (makalio)angalia dada huyo makadi yake yanamvutio kabisa kazi ya dawa hiyo, nyie wengine mnadanganywa eti imekuwa na madhara eee nyie kaeni tu, wenzenu wanapendeza angalia soko hilo linajinadi wenywe bila yakuhitajika dalali wa kunadi.
 
kweeerii....
oii oi
 
Sasa hii thread imeshaingiliwa na lida wa ze utamu Yo Yo. Wangeleta wengine hii list ya kamanda Liyumba ungeona anavyobwabwaja.

Nways tatizo la wabongo wakishapata exposure kidogo kazi yao ni kupondea tu...lakini ukiangalia kwa undani tatizo lao ni kawivu ka-kike. Eti mwingine anaifananisha hii party na ya P.Diddy my a$$..kama mmekosa nauli ya kurudi bongo semeni sio mnapondea tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…