Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada Wana JM kuhusu tofauti ya white wall put na white siment matumizi yake yanaendana katika ufanyaji kazi au kipi ni kizuri zaidi katika finishing ya juma. Natanguliza shukrani.
Nashukuru kwa mawazo mazuriNadhan umemaanisha wall puty -white skimming na white cement! Kama ni hvyo hzo ni material kwa ajili ya skimming… wall puty faida yake unachanganyia kwa kutumia maji na unaweza kupaka nje na ndani ya nyumba ila white cement unachanganyia kwa kutumia rangi (white emulsion)….white cement mara nying utumika kuskim kwa nje na ni nzuri zaidi ya wall puty but gharama kdgo.
Sijaona mkubwaMkuu chukua muda wako tembelea nyuzi hapa zimeelezea kila kitu kuhusu swali lako.
Tafuta uzi wa Skimming hapa upo kuna wadau walifafanua vizuri ubora na matumizi ya hayo makituSijaona mkubwa