"White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

Huyo mama kwa akili ya kawaida kabisa isiyo na mafunzo ya ujasusi ni CIA
Hilo nalo neno au kikundi chochote cha ujasusi, MI5 au Mossad, maana huwa na mapandikizi wengi, mpaka leo asipatikane? Haiingii akilini.

Juzi juzi nilikuwa naisikiliza interview ya Msaudi jasusi wa Uingereza aliyeishi na kufanya kazi na Al Qaeda kwa miaka bila kujulikana. Mara ya mwisho alikuwa ni bonge la executive kwenye bank moja ya Magharibi.

Watu waliofanya kazi nje za nchi au hata kwenye ma NGO kama kina Msechu na wakaja huku wakapata nyadhifa za juu na jinsi vichwa vyao vinavyofikiria tofauti na Watanzania, wengi huwa ni mapandikizi ya Kimataifa.
 
Asante.
 
Nukta muhimu ni kikosi cha Recce kilpata mafunzo Israel na UK na kilikuwa cha mwanzo kufika Nakumat kabla vikosi vingine. Kama kwamba siku hiyo walikuwa wamepiga kambi kwa ajili ya sinema ile.

White widow mjane wa UK aliolewa na kiongozi wa Alshabaab. Kuna mtu maalum alisimamia ndoa hiyo ya msomali na muiengereza.

White widow ni mzaliwa wa UK sijui alipataje leseni ya kuanzisha biashara Kenya siku tatu kabla ya tukio. Kuna watu walikuwa wanamfahamu white widow na walikuwa wakiona kila hatua zake.
UJINGA MTUPU
 
Recce waliingia wamechelewa, kazi ilikwishamalizwa na mashujaa wachache sana wa "system", waliowahi kufika kuliko kikosi chochote kingine cha Kenya, na waliingia kazini moja kwa moja.

Msome Innayyat Kasssam, msome Abdul Haj Noor, na kuna kijana mwengine jina limenitoka kidogo, nikilipata ntalileta ukumbini.

Hao ndiyo mashujaa wa kweli, forces zingine zinaingia tayari maharamia washayeyuka wakaanza looting tu.
 
Huyu innayyart kassam ni former soldier
 
Nilikua nauliza sorry
Nimesearch mtandao, nimepata haya mache yanayomuuhusu:

Mambo 10 Unayopaswa Kujua Kuhusu Double Tragedy Superman Inayat Kassam​



Mwaka 2013 wakati wa shambulio la Westgate, alikuwa miongoni mwa timu ya uokoaji, na mwaka 2019, pia aliweka maisha yake katika maisha yake, hata akifanya kazi bila ushahidi wa risasi.

Tunachagua kusherehekea hii hapa kama YVK kwa kufunua habari zaidi juu ya utambulisho wake wa kweli

  1. Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 52 anayeishi Kenya ni raia wa Israel
  2. Inayat Kassam ni mwalimu mwenye uzoefu wa kupambana na risasi, pamoja na kuwa Mwalimu wa EDA Krav Maga.
  3. Bw. Kassam ni Mkurugenzi Mtendaji wa Scorpio Africa Ltd; kampuni ambayo hutoa usimamizi wa usalama na mafunzo kwa njia ya wafanyakazi wa usalama, mafunzo yasiyo na silaha / silaha na mafunzo ya silaha yaliyothibitishwa.
  4. Anahudumu katika Chuo cha Ulinzi cha Kenya Krav Maga kama mwalimu wa Chuo cha Ulinzi cha Wasomi (EDA) na amethibitishwa kama Mwalimu wa Juu wa Tactical Shooting.
  5. Katika Afrika, yeye ndiye pekee ambaye ni mkufunzi wa EDA aliyethibitishwa kimataifa mbali na Afrika Kusini
  6. Miongoni mwa kozi anazotoa katika shule yake EDA ya mafunzo hatari ni pamoja na: H. E. A. T. (Mafunzo ya Uhamasishaji wa Mazingira ya Jeshi), Majibu ya Scenario ya Shooter ya Active, Kozi ya Kazi ya Blade, Kozi ya Silaha za Silaha, Taratibu za Kukamatwa na Kupumzika pamoja na Mafunzo ya Silaha za Tactical.
  7. Inayat ni Mwalimu wa Kiwango cha 2 Krav Maga aliyethibitishwa kikamilifu, na anashikilia kiwango cha Black Belt Level 1 ndani ya Mfumo wa EDA Krav Maga
  8. Pia alifunza na vyombo mbalimbali kama vile SKOPOS, ACT, na AMOK katika kipindi cha miaka 9 iliyopita.
  9. Ofisi zake ziko Nairobi, Scorpio Africa, Sakafu ya 2, Apricot Suites, Nne Parklands Ave
  10. Kampuni yake ina ofisi za makao makuu nchini Afrika Kusini

Chanzo: 10 Facts You Should Know About Double Tragedy Superman Inayat Kassam - Youth Village Kenya
 
Ok, ahsante, kumbe sikua mbali nalichohisi, ahsante kwa taarifa.
 
Sasa mbona wanatufanya mazumbukuku. Serikali nzima inafanyiwa mambo ya mzaha mzaha.
 
Ina maana haya masuala muda mwingine watu wanaamua tu kuyaachia kwa sababu zao maalumu na wanaoangamia ni wananchi wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…