"White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani


Jamaa waliplay part kubwa katika hili sakata.
 
Ungetumbia na yule komandoo mzungu aliyeoonekana akiongoza kikosi cha uokozi alikuwa nani kwenye hiyo mission.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Uko deep..
 
Simulizi Nzuri sana mkuu Japo sifahamu idadi ya wanamgambo wa Al Shaabab waliovamia Jengo la Westgate ila ninachojua Kuna wanamgambo wawili walipasuliwa vibaya mno na kufa papo hapo.
Kwenye mashambulizi kama haya ndipo unapoona ubovu ama uimara wa vikosi vyetu vya Ulinzi, sio Kenya tu hata Tanzania majeshi yetu yanasikitisha sana hawana weledi kabisa wa kazi wamezoea kunyanyasa raia tu, nimekumbuka tukio la Hamza pale Salander jinsi askari wetu walivyodharirika.
 
Lakini miili yao haikupatikana Kiongozi.
 
Serekali ya Kenya ilionywa sana kuwa wasiingie Somalia kwenda kuuwa watu lakini walikua wanaenda kuuwa wasomali na kuwabaka huku wakiwa wanapewa go ahead na Marekani na Israel, hayo yaliotokea ni matunda yake


Hata hao ECOWAS wakija kutia kichwakichwa huko kwenye nchi za watu watafanyiwa kuliko hayo, Marekani na nchi za Magharibi kama wao wana kila kitu kwann wasiingie wao katika hizo nchi wanatumisha waafrika wenziwao
 
West gate Kuna watu walionywa na ndugu zao wanajeshi wasiende hapo siku hiyo, white widow taarifa za kitambo zilidai wamemuua, rejea pia movie 'eye in the sky'
White widow bado anaishi. Kwenue tukio la west gate mall hakuna gaidi hata mmoja aliyeuwawa
 
White widow bado anaishi. Kwenue tukio la west gate mall hakuna gaidi hata mmoja aliyeuwawa
Hakuna mwili wa gaidi yeyote uliyoonekana baada ya tukio.

Mara ya Mwisho CCTV camera ziliwaonesha magaidi wakigeuza Camera na wote wanne kutoweka kwa kuingia katika chumba cha kuhifadhia mizigo cha duka la NAKUMAT.

Baada ya hapo hawakuonekana tena.
 
Na hao waliofanya tukio nao walishajitolea kufa siku hiyo hiyo, kila siku zinavyokwenda ni bonus kwao.

Pia inaweza kuwa mipango ya Mossad kueneza chuki.
Eti ni kweli hao magaidi ikitokea wakafa baada ya kufanya huo ugaidi wao, wanaenda kukabidhiwa mabikira 72 huko peponi na Mola wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…