Whitedent wanatumia Siri gani "kuua" brands nyingine za dawa za meno eg "Aha, AfyaDent na Colgate ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?

- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!

- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!

SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
 
Bei yake ndogo, wabongo wana angalia bei sio ubora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?

- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!

- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!

SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka tatizo ni bei ni metumia factor ya bei baada ya zote kuwepo katika meza moja lakini bei tofauti.

mafisadi hayana rangi
 
Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
Exactly, hata "BLUEBAND", kuanza mapema pia kunawasaidia. Bt sioni kama WaTZ ni WAFUASI wa BRAND, siyo kwamba ni wanunuzi tu wa Dawa iliyopo ?
 
Colgate inaingia kwenye historia kwa Tanzania maana hata watu wengine tulikuwa tukijua labda Dawa ya kuswakia kwa Kienglish inaitwa Colgate. Hii inaungana na Shell, Bukta,Kiwi na nyingine.

Sasa utafiti wako wa Whitedent japo wewe ni mtu wao lakini Ukweli ni kwamba inajitahidi kwasababu imeweza kuwa na aina kadhaa ambazo kila mtu anapata ya kwake kama ni Herbal au ingine. Pili size wameweza kuwa na size za kila mtu halafu ofa ya Mswaki ilimaliza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?

- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!

- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!

SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
White sent bei Rahisi Na mazoea pia.Ila kwa upande wangu nimeshindwa kutumia whitedent inanidhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Availability of a product ,
Maana hizo brand zingine unaweza ukazitafuta baadhi ya maeneo hazipo kabisa.

Pia, kizazi cha dot.com Instagram, FB , ni rahisi sana kuelewa maana ya neno Whitedent than neno alovera.

Mfano, mimi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], nikisiakia tu dawa inaitwa Alovera napata picha ya Dr. Yule aliye kwenye wimbo wa diamond - Je Utanipenda.

Kwa hiyo, brand name nayo ni changamoto inaweza ikaw either a positive or a negative effect towards a product.
 
Exactly, hata "BLUEBAND", kuanza mapema pia kunawasaidia. Bt sioni kama WaTZ ni WAFUASI wa BRAND, siyo kwamba ni wanunuzi tu wa Dawa iliyopo ?
Uchaguzi wa brand huendana na kipato na uelewa. So ni kweli kwa Mtanzania wa kawaida muhimu ni dawa iliyopo. Pia hata jambo la afya ya kinywa sio issue kwetu. Kama hatuwezi kufanya check up ya mwili mpaka tuumwe then hatuwezi kuwa sensitive na afya ya kinywa. Hivo kumaanisha kuwa hata uchaguzi wa dawa ya meno sio issue. We hakikisha dawa yako inapatikana sehemu zote na kwa bei nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom