Bei yake ndogo, wabongo wana angalia bei sio ubora.Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!
- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!
SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!
- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!
SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Exactly, hata "BLUEBAND", kuanza mapema pia kunawasaidia. Bt sioni kama WaTZ ni WAFUASI wa BRAND, siyo kwamba ni wanunuzi tu wa Dawa iliyopo ?Nadhani sio kama wana mbinu kubwa wanayotumia lakini kinachowapa advantage ni ile kuwa strong brand ambayo ilianza wakati hakuna wengine na ikaendelea ku maintain ubora wake. Wakati tunakua tulikua hatusemi dawa ya meno ulikua ukitumwa dukani unaambiwa kanunue Whitedent so hiyo imekaa vizazi na vizazi. Wengi tunakuja kujua kama kuna dawa nyingine za meno tumeshakua wakubwa. Hii pia ni ipo kwenye dawa za viatu. Tulikua tukitumwa unaambiwa kanunue KIWI na sio dawa ya viatu. Mpaka baade ukikua ndo unajua kumbe KIWI ni brand tu ila ile ni dawa ya viatu. Hivo imechukua muda kidogo hawa watu kuwatoa kwenye hiyo position waliyopo kwenye akili za wateja. But naamini baada ya miaka michache hawawezi kuendelea kuwa hivi. Kumbuka hata simu ziliitwa mobitel wakati ule kwa kuwa ndo ulikua mtandao pekee wa simu.
White sent bei Rahisi Na mazoea pia.Ila kwa upande wangu nimeshindwa kutumia whitedent inanidhuruNadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate ni brand kubwa duniani lakini hapa kwetu imeshindwa kabisa kufanya vizuri licha ya matangazo wakati Whitedent hata hawana matangazo !!
- Aha ilikufa, AfyaDent haijulikani ilipo, Aloe zinasuasua!
SIRI YA WHITEDENT ni nini ?
Unatumia ipi ?White sent bei Rahisi Na mazoea pia.Ila kwa upande wangu nimeshindwa kutumia whitedent inanidhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi wamama wengi wanatumia Mo Safi, labda kwa kuwa umeandika una Nusu kilo BURE ndani.Title ndo inasumbua, nafikiri hata unga wa ngano wa Azami una soko kuliko unga wa kampuni nyingine coz ulikuwepo toka mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi wa brand huendana na kipato na uelewa. So ni kweli kwa Mtanzania wa kawaida muhimu ni dawa iliyopo. Pia hata jambo la afya ya kinywa sio issue kwetu. Kama hatuwezi kufanya check up ya mwili mpaka tuumwe then hatuwezi kuwa sensitive na afya ya kinywa. Hivo kumaanisha kuwa hata uchaguzi wa dawa ya meno sio issue. We hakikisha dawa yako inapatikana sehemu zote na kwa bei nafuu.Exactly, hata "BLUEBAND", kuanza mapema pia kunawasaidia. Bt sioni kama WaTZ ni WAFUASI wa BRAND, siyo kwamba ni wanunuzi tu wa Dawa iliyopo ?