Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
Ebu sahihisha post yako... Marehemu anakuwaje na kipaji?
 
Humtendei haki marehemu Whitney Houston kumlinganisha na Celine Dion. Whitney hakuna wa kumlinganisha nae kwenye kizazi chake. Mariah Carey aliwahi kusema, "Mimi naimba, na kuna wanamuziki wengi wa kike wanaimba, lakini Whitney sio levo zetu kabisa, ile ni mashine nyingine." Celine mlinganishe na Mcanada mwenzake Shania Twain.
 
Pambana na hali yakoo... Celine dions achana naee aiseee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nyimbo zake hata la saba asieelewa anasikiliza na kuenjoy kale kasautii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…