Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Nilichogundua 'watoto' wengi ndio wanamjua Celine na kumshabikia, bado hawamjua Whitney. Celine Dion kwa tunaoujua muziki hata kwa Beyonce wa Jiga hatoboi maana na puch za juu mno. Nyimboza zote ni flat. Ila kwa tunaojua muziki tu ndio tuna Whitney ni nani
 
celine ni level nyingne...angalia wimbo wa 'we are the world' ndo utaona alivopita kuwazid wote....anasauti ya kupanda iliyotulia na ana hits kuliko whitney.
 
Itakuwa umerogwa wewe sio bure ... hahaaa haha yaani kuna wakumfananisha na Whitney kweli .. au mmevuta bangi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whitney ni moto mwingine ni dharau kubwa mnoo kumfananisha na msanii yeyote yule wa kike

Katika mziki kuna Michael Jackson na Whitney halafu ndio zinafuata hizo taka taka nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…