Sijui kama unapenda kutumia internet kujifunza Kingereza, lakini kama ni hivyo, websites ifuatayo ni bora:
---------------------
Kwa English grammar hii inafaa kuliko nyingine kadiri nilivyoona:
ENGLISH PAGE - Online English Grammar Book (Bonyeza) Hapa ni index.
Hii ni Homepage:
Advanced English lessons (Bonyeza)
---------------------
Kusoma na kusikiliza Kingereza (at the same time) BBC Worldservice Learning English ni bora.
Learning English - General & Business English (Bonyeza)
Chini ya General & Business English menu, 6 Minute English na English at Work hasa inafaa.
Learning English - Grammar, Vocabulary & Pronunciation (Bonyeza)
Chini ya Grammar, Vocabulary & Pronunciation menu, The English we speak hasa inafaa.
Website ya BBC infaa sana kwa sababu yapo mazungumzo (conversations) mengi ya Kiingereza ya kila siku na zaidi ya hayo unaweza kusoma na kusikiliza at the same time. Pia, kulia na juu ya webpage nyingi unaweza kufungua audio file na text file, au kudownload yote kwenye computer yako (ukiwa na computer!)! Lakini kama ukitaka kusoma na kusikiliza at the same time kwenye internet, lazima to right-click on the audio au text file and then to choose the option open link in new window. Ndipo utafungua files mbili separately ili kusoma na sikiliza pamoja.
Sijui kama itakusaidia.
Labda unaweza kunisaidia kutafsiri maneno haya kama ukiwa na nafasi:
to download na to access na access. Kwa mfano
I want to download this file.
I cant access the internet.
Do you have access to a computer.
Asante!