Who are the Saigons?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Hii klabu ni maarufu sana pale Kariakoo.

Ni klabu ya mtaani ambayo ni jamaa hukaa wakipiga gumzo, kucheza bao, karata na kubadilishana mazungumzo.

Zaidi, klabu hii imetumika katika harakati za kisiasa na kijamii.

Ukiachilia mbali mambo ya awaida ya Pan, Simba na Yanga au vijembe vya Msondo na Sikinde, je ni nani wali wanachama wa Saigon ambao walikuwepo, wapo na watakuwepo Serikalini na kwenye Siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…