WHO Assures Madagascar of Their Support For Their Covid-19 Organics

WHO Assures Madagascar of Their Support For Their Covid-19 Organics

Huyu Mhabeshi analeta upuuzi kwenye science. Analoga, sidhani kama Marekani ataruhusu any other day aingie head mwafrika! Time will tell! Atoe 500,000 milioni USD/year (or billion????)halafu mlete kuchezea hela kipuuzi hivyo!
 
Mkuu swala ni kwamba hawa wazungu walizoea kufikiri sisi waafrika ni wajinga tu, lakini mambo yanabadilika. Huwezi kutoa fedha halafu unataka kuleta umburukenge enough is enough Africa has woken up! Covid-19 imesaidia tuamke. Nobody cares about how much money USA is paying because that money is coming from stolen property.
 
Kabudi alishapiga sasa hivi hata barakoa haitaji sijui sisi makapuku tutapewa, utafiti uliishia wapi?
 
Back
Top Bottom