Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 395
Kifupi ni#4.Je ni namba 1, 2, 3 au4? Kama wewe ni genius kweli tunaomba utoe jibu kwenye hii picha.View attachment 1129498
Mrija wake #4 kuna sehemu umezibwaKifupi ni#4.
Hapo tunaangalia botom ya kipenyo cha mrija. Hiyo pombe itapoanza ku flow, itaanza kupita kuelekea kulia.
Na huyo #4 ndiye chombo chake kitaanza kujaa.
Uongo, kweli?
Wanne kazibiwa mkuuKifupi ni#4.
Hapo tunaangalia botom ya kipenyo cha mrija. Hiyo pombe itapoanza ku flow, itaanza kupita kuelekea kulia.
Na huyo #4 ndiye chombo chake kitaanza kujaa.
Uongo, kweli?
Kazibiwa namba mbili pekee ndiye yupo huru3 ndo jamaa wa kwanza kula gambe
Kweli kazibiwa, sikuona vizuri. Kwa muktadha huo basi ni #3 ndiye atakayeanza kuburudika.Namba 2 asee
Nae kazibiwa aliye huru ni no2 pekeeKweli kazibiwa, sikuona vizuri. Kwa muktadha huo basi ni #3 ndiye atakayeanza kuburudika.
Kweli wale wote watatu wamezibiwa, isipokuwa #2 pekee.Kazibiwa namba mbili pekee ndiye yupo huru
Wote wanaosema namba 2, wapo sahihi kabisa. HONGERENI.Number 4.
Wrong answerIt's number 4 just fact that pressure of the liquid is affected by depth of the container liquid in it.
Nope, thanks for minding me, I looked the picture again the only one who will drink is no 2 coz it's the only one whose tube is opened Assuming that the cups are all openWrong answer
Every tube is blocked, even the cups
So the answer is NONE