#COVID19 WHO/ CDC: Siyo lazima Mchanjaji wa Chanjo ya Covid-19 Kuvaa Gloves

#COVID19 WHO/ CDC: Siyo lazima Mchanjaji wa Chanjo ya Covid-19 Kuvaa Gloves

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na Shirika la Kuzuia na Kupambana na Magonjwa Marekani (CDC) kwa pamoja yalishatoa Muongozo kwa watoa huduma ya kuchanja chanjo ya Covid-19 kiwa siyo lazima kwa mtoa huduma kuvaa gloves wakati anatoa huduma hiyo. Atalazimika tu pale mteja anapokuwa na kidonda eneo ambalo litatumika kushikwa na kuchanjwa.

Mtoa huduma ameelekezwa kufuata kanunini za IPC kama kunawa mikono, kusafisha eneo litakalotumika kuchanjwa n.k .n.k.

WATANZANIA msipotoshwe na watu wanaosema aliyemchanja Rais atakuwa ametoa chanjo fake ndiyo maana hajavaa gloves.

Zaidi soma link hizi:

1. COVID-19 Vaccine Training Modules
2. https://apps.who.int/iris/rest/bitstreams/1327517/retrieve
 
Soma hayo maelezo vizuri kwenye mada
 
Back
Top Bottom