WHO: Chanjo zingetolewa kwa usawa, wazee na watumishi wote wa afya duniani wangekuwa wameshazipata

WHO: Chanjo zingetolewa kwa usawa, wazee na watumishi wote wa afya duniani wangekuwa wameshazipata

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Watumishi wote wa Afya na Wazee ulimwenguni wangekuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ikiwa zingegawanywa kwa usawa

Amesema Serikali ambazo zinatoa chanjo kwa watu katika makundi yasiyo hatarishi zinafanya hivyo kwa kuhatarisha usalama wa watu wenye uhitaji sehemu nyingine duniani

Ameeleza, dunia inapaswa kuwa na lengo la kutoa chanjo kwa angalau 10% ya wananchi katiks Mataifa yote ifikapo Septemba na 30% hadi kufikia mwisho wa mwaka

=====

The head of the World Health Organization has said that all health workers and elderly worldwide would have been vaccinated against coronavirus by now if jabs has been distributed equitably.

In an appeal for more doses for poorer countries, Tedros Adhanom Ghebreyesus said governments vaccinating low risk groups were doing so at the expense of vulnerable people elsewhere.

He described the unequal distribution as scandalous and said it was perpetuating the pandemic.

Dr Tedros urged more pledges for the UN's vaccine distribution programme - Covax.

He said the world should aim to vaccinate at least ten percent of people in every country by September, and 30% by the end of the year.

Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom