Who created God? Who made him? Where did he come from?

Foolish post, special for foolish people. Kumbuka kila asiyeamini uwepo wa Mungu huyo ni Fool.
Fikiria hili, kuanzia kwako unafahamu hata majina hadi kizazi cha ngapi nyuma yako?, wengi wakijitahidi wanaishia kufahamu jina la babu wa babu yake, vipi uelewe kuhusu chimbuko la MUNGU kama tu hujui mtu wa 10 toka kwako aliitwa nani?????????.
Kumbuka hili, hata kungekuwepo na maendeleo makubwa kiasi gani ya kiteknolojia, Mungu bado asingechunguzika.
 

Tehe tehe tehe. Umenifanya nitabasamu hapa kitandani japo naumwa bwana matola. Kiukweli watu weng wasiomuamini Mungu au waliopoteza imani ya Mungu ni wakristo. Unaweza pata justification ya hili kwakuangalia majina yao tu simaanishi humu jf lakini walio nje huko duniani tena wasomi wakubwa wanaoitwa matatibu wa bongo za watu. Kinachofurahisha baada ya fukuafukua yao mwisho wa siku huishia kujitia kitanzi. Ikiwa mtu atasema uislamu ni dini ya shetani tutamuomba atoe ushahidi kwakuwa waislamu adui yao mkubwa ni shetani na kalaaniwa na kutajwa sana kwa ubaya katika quruani. Mimi nimetoa ushauri tu hasa kwa wakristo waachane na fukuafukua zao kumhusu Mungu kwani itawafanya hata huyu wanaemuabudu kimakosa watamuacha. Nakushauri pia na wewe ujifunze kuhusu ukuu na utukufu wa Mungu uache kujadili mambo yanayohusu dhati yake utapoteza hako kaimani kalikobakia moyoni mwako. Watu wote wanatofautiana ktk ibada lakini wote wanaamini kuwa Mungu yupo kinyume na hawa wanaojiita hawana dini kwakuwa Mungu haexist bali ni illusion za watu na woga wao tu. Just be open minded to accept the truth it will help you change your life. Don be afraid of knowing the truth about the greatness our God is.
 
Binadamu bana .......

Nje ya dini hakuna anaejua binadamu katokea wapi halafu wanakimbilia kutaka kumjua Mungu
Hii itawezekanaje?

Halafu haya mawazo ya aina hii ni yale ambayo wenye nayo wanajiogopa na kuogopa yale ambayo watakuja kuwajibika nayo,wanaamua kukataa tu wakidhani kukataa ni ushahidi wa wanachokikana

Ama kweli mpumb.vu husema Mungu hayupo!
 
Ukitaka kujua, jiulize kwanza Mungu ni nini? Utajua who, how, and when.

Ila kijana wangu mdogo jana tu kaniuliza hili swali, na akachachamaa kabisa kuwa linamkwaza sana. Kila akikaa linajirudia rudia. Nikimjibu jibu la milele, anasema, lazima kuwe na mwanzo.
 
foolish post for special foolish people and you're the one of them, that's why uko hapa na umecomment. wewe ni foolish namba one.
 
Mungu ni Mungu Aliumba bila kuumbwa, Mwanzo wake haupo, mwisho pia haupo, Kwa sababu wote tunaamin kwamba mungu ni roho, roho ya mwanadamu huwa na mwanzo lakin tunaamin haina mwisho, Lakin Roho iliyoumba roho hatutegemei ikawa na mwisho au mwanzo,Mwanadamu kumchunguza Mungu ambaye ni muumba wake ni sawa na kusukuma gari ambalo upo juu yake, Haiewezekani!!!Mtu pekee wa kujua Mungu ni nani na ametoka wapi ni yule ambaye HAJAHUSIKA KWA NAMNA YOYOTE NA UUMBAJI WA MUNGU HUYU!
 
huweji kumfafanua Mungu kwa sababu yeye ndie aliyekuumba wewe! you can't define your maker.

Kama huwezi kumfafanua utajuaje kwamba yupo kweli na si hadithi tu?
 

Pengine kwa sbb ya ukweli kwamba ni Wakristo hukishughulisha kufikiri na kutumia akili tofauti na ww na hy imani yako.

Huyo unayemdhania wewe kuwa ndio mungu wako mwenyewe hakufikiri kiasi akaja na singo yake ya jua kuzama kwenye tope
 
That is very foolish question and post. If you ask who created god then who created who? Dont ask silly qns.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…