always am a Winner
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 230
- 193
.Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
Try to understand the meaning of the word nothing. By doing this, you will have all your questions answered.Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
Swali zuri ila umeliuliza kwa kasi sana. Ungeanzia kuuliza namba 1 na 2 na kusubiri mirejesho. Angejitokeza mtu na kusema kuwa "Mungu aliumba tupu." Hapo ungeuliza namba 3. Na kuendelea. Umetumalizia utamu wa swali kabla wadau hawajajitahidi kulijibu kuanzia mwanzo wake. Wadau karibuni!Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
you have killed the topic..thanks!!!Kisayansi hakuna kitu kama Nothingness.hata Kwenye vacuum kuna particles zinaitwa ions.hizi ions zinajitengeneza na kupotea haraka Mno,ila zinaweza kuwa detected na machine.kwa hiyo kama nothing haipo swali linakosa Msingi wa kusimama.
Binadamu tunazidi kuwa na maswali magumu sana, hapa hata Mungu kama kweli yupo basi lazima akune kichwa!! Who created nothingness?? Kabla ya nothingness kulikuwa na nini??Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
Hivi ndivyo watu wanavyokwepaga kutoa majibu, kwa comment kama hizi.Try to understand the meaning of the word nothing. By doing this, you will have all your questions answered.
So oxygen ilikuwepo kabla ya kuumbwa mtu?Kwa mujibu wa biblia GIZA na MAJI vilikuwepo kabla hata ya uumbaji wa MUNGU.
Nimejibu hivyo japo swali lako sijalielewa coz nothingness means empty.
Nani alimuumba mtu?So oxygen ilikuwepo kabla ya kuumbwa mtu?
Kwa hizo story za kwenye biblia na kile alichokishusha allah zinadai mungu ndo muumba wa vyote.Nlitaka kujua kuhusu oxygen sababu kama pumzi aliiumba pale alipomuumba mtu nlitaka kujua hayo maji yalikua na composition gani?Maana yalitangulia kuumbwa.Nani alimuumba mtu?
Swali la nyongeza: Ikiwa alitumia udongo kumuumba mtu, je alitumia material yepi kuumba udonga na maji?Kwa hizo story za kwenye biblia na kile alichokishusha allah zinadai mungu ndo muumba wa vyote.Nlitaka kujua kuhusu oxygen sababu kama pumzi aliiumba pale alipomuumba mtu nlitaka kujua hayo maji yalikua na composition gani?Maana yalitangulia kuumbwa.