who is a computer hacker?

who is a computer hacker?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
wadau tufahamishane kwa lugha yetu(kiswahili) ingawa swali limeulizwa kwa kingereza.nauliza swali hilo kwa kuwa sasa hivi inayobamba ktk media za kimataifa ni hacker hacker hacker .Tuelimishanae huyu HACKER ni nani.na je kashaingia ktk vyombo vyetu nyeti vya kiusalama hapa nyumbani(TZ)?Wavimba macho wetu(usalama wa taifa)wanauwezo wa kumdhibiti?ni hayo tuu wakuu
 
Hacker ni mtu yeyote anayetumia technolojia(computer)aidha kudhuru kompyuta zingine(kutengeneza programu haribifu kama virusi),kuaksesi na kuingia kwenye web site zisizomhusu na kupata habari za siri za watu(kutumia password za watu kiujanja ujanja)hizo ni baadhi ya sifa za hackers,kwa ufupi hawa watu ni wataalamu wa kompyuta ila huitumia kwa kuharibu zaidi na si kujenga
 
Back
Top Bottom