Who is an expert; proffesional

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,039
Reaction score
4,889
What makes someone to be an expert or a proffesional in a given field?. is it a university degree or what. Je kila mtu anayemaliza degree ya fani flani ni anakua mtaalam wa fani hiyo?

Nauliza hivi kwa sababu kuu mbili. Hivi karibuni nimefanya kazi katka taasisi moja na mtu ambaye ameajiriwa kama expert wa fani flani, lakini hakuwa na ujuzi nilioutegemea kama expert. Alikua amemaliza degree ya kwanza kama miaka 2 iliyopita.
Pili siku za hivi karibuni hizi nafasi za experts zimekua nyingi hasa katika NGO na miradi. Je kama taifa tuna tengenezaje experts wa fani mbalimbali?
 
Does he/she got any verification/certification of that expertise ? or you just call him/her an expert ? or be course coming from abroad ? and what is his qualification ? any specialization and experience in it ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…