Who is Deus Kibamba?

Who is Deus Kibamba?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
sio vibaya tukiwafamu wanaharakati wetu.
huyu jamaa napata kumuona sana ktk tv akichangia
mijadala mbalimbali ya kuikosoa serikali.
kwa wanaomfaham vizuri watujuze.not necessarily CV.....
tujue ni mpiganaji wa kweli au mganga njaa.

Mwenyekiti wa jukwaa la katiba,the dude is very smart!

Huyu jamaa ni mpiganaji wa ki ukweli!

Ninamfahamu kiasi. Sekondari alikuwa Milambo kwenye 1990's, baada ya hapo UDSM, na ni mnyalukolo kutota Iringa. Kazi TGNP na ni mshiriki mzuri Wa makongamano yenye mielekeo ya kutetea haki za kijamii. Hata Mimi namkubali kuwa jamaa ni kichwa na ni hazina ya baadaye kwa nchi hii

yes, umenena sawia kabisa!
Nilikuwa nae Milambo secondary, Tabora kwenye miaka ya 1990 - 1992 A LEVEL,
alikuwa anasoma HKL, baadae akaenda Mlimani, Political science.....................
sasa nadhani yupo TGNP!!!!!
Ni mpiganaji mzuri, alikuwa kiranja wa msosi alipokuwa milambo!very strong na muongeaji sana...............

Baada ya kizazi cha wakali kama Prof Issa Shivji, Lwaitama na akina Jenerali Ulimwengu then kizazi kinachofuata cha watu werevu wenye ujasiri wa kuchambua hoja kinawakilishwa na akina Deus Kibamba na wenzie

yes, umenena sawia kabisa!

Nilikuwa nae Milambo secondary, Tabora kwenye miaka ya 1990 - 1992 A LEVEL,

alikuwa anasoma HKL, baadae akaenda Mlimani, Political science.....................

sasa nadhani yupo TGNP!!!!!

Ni mpiganaji mzuri, alikuwa kiranja wa msosi alipokuwa milambo!very strong na muongeaji sana...............

Huyu bwana ni kweli ni mpiganaji mkubwa ila jambo moja linalonitatiza ni jinsi ambavyo asasi yake haikui. Huyu bwana ni mwanzilishi na mkurugenzi wa asasi iitwayo Tanzania Citzens' Information Bureau (TCIB). Hii asasi imekuwepo kidogo ila haijawa popular kama huyu mkurugenzi wake. Kama vile anafanyiwa hujuma. Labda na yeye ajitetee maana naamini nae ni mdau humu

Jamaa ni kati ya wazalendo wachache wa nji hii.

yes, umenena sawia kabisa!
Nilikuwa nae Milambo secondary, Tabora kwenye miaka ya 1990 - 1992 A LEVEL,
alikuwa anasoma HKL, baadae akaenda Mlimani, Political science.....................
sasa nadhani yupo TGNP!!!!!
Ni mpiganaji mzuri, alikuwa kiranja wa msosi alipokuwa milambo!very strong na muongeaji sana...............

Nilifahamiana naye kikazi kwa muda wa kutosha. Yuko vizuri sana katika anacho kiamini. TUNAWAHITAJI WATU WENGI WA NAMNA YAKE KATIKA KUIFUFUA NCHI YETU INAYOZIDI KWENDA SHIMONI

Aliniudhi kwenye issue ya EAC political federation- yeye anaunga mkono; sababu eti huwa anaenda-ga kufanya kazi Kenya; Wakenya hawana lolote tusiwaogope. Toka siku siku hiyo nilimtia doa.

Otherwise namkubali kujenga hoja ni mtaji mkubwa sana kwa kambi ya mtaka urais kupitia CCM 2015

yes, umenena sawia kabisa!
Nilikuwa nae Milambo secondary, Tabora kwenye miaka ya 1990 - 1992 A LEVEL,
alikuwa anasoma HKL, baadae akaenda Mlimani, Political science.....................
sasa nadhani yupo TGNP!!!!!
Ni mpiganaji mzuri, alikuwa kiranja wa msosi alipokuwa milambo!very strong na muongeaji sana...............

Ni mpiganaji Mzuri sana na ana uwezo wa kujenga hoja nzuri na kichwa chake kinachemka sana
mimi nilisoma naye Malangali Sec. School alimaliza 1990 ndiyo akaenda Milambo na baadaye UDSM na nakumbuka kuwa alifanya kazi na Haki Ardhi, TGNP na sasa kwenye taasisi hiyo TCIB
ni hazina

Yeah namfahamu jamaa tokea Malangali Secondary,,ni "msumbufu" balaa kwenye kutetea maslahi ya wengi. Moto alionao sasa kwenye kuikosoa serikali ni hulka yake kupinga ukandamizaji wa aina yoyote. Hofu yangu magamba@ccm wasije mweka kati (kumlambisha mulungula) akawa mmoja wao,,mdomo akazibwa. but i thhink mnyalu huyu will remain stable/firm

Back
Top Bottom