Who is DJ Don Nalimison in music and journalism platforms

Kuna shida sehemu.
 
Jamaa kwa sura amefanana na mmoja wa wale jamaa Waniger wa AKI na UKWA.Nawakubali sana wale jamaa ila a self-proclaimed Dj Don Nalimi amewazidi wale kwa kipaji.
 
Very underated musician.

Nilikua South Africa aisee jamaa anasumbua sana mapini yake Club za Johannesburg.

Tanzania tuna madini aisee.
 
Very underated musician.

Nilikua South Africa aisee jamaa anasumbua sana mapini yake Club za Johannesburg.

Tanzania tuna madini aisee.
Ulikuwa hujui mwamba n next level

Nipo hapa RIO DE JANEIRO jiran na klabu LABUMBUNERO ngoma zake zimekiteka vitongoji vyote jiji la RIO

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookie kwa nini msibadili heading isomeke
Who is Civilian Coin in music and journalism platforms

Instead of "Who is DJ Don Nalimison in music and journalism platforms"
 
Mimi ni shabiki wako kindakinda Bwana Don. Yani una mangoma ya maana akina Kendrick Lamar wajipange upya.
Nasubiri album yako lazima iende triple platnum
 
Mimi ni shabiki wako kindakinda Bwana Don. Yani una mangoma ya maana akina Kendrick Lamar wajipange upya.
Nasubiri album yako lazima iende triple platnum
Jamaa fundi kweli kweli.
Nashangaa kwa nini hajawekwa kwenye nomination yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…