Who is Hussein Mohammed Bashe?

Upo upande gani hapo..?

Kuwa na upande ndani ya CCM ? No, no, no, over my dead body !! Popote ndani ya CCM ni kuchafu na mimi ninavyochukia uchafu - tafadhali Kibunango, heshima mbele.
 
Huyu aliyeweka thread hii ni Hussein Bashe mwenyewe, nashauri tusipoteze muda na vifisadi vinavyochipukia!
Kaandaliwa kumwadhibu Seleli kwa kushiriki kwake kwenye Richmond! Hussein ni FIASADI MKUBWA byhimself!
 
Nachukia Mafisadi,Nachukia UNITED KINGDOM OF TANZANIA! Awe aliyetuma ni Bashe au Selleli sijali hiyo ndio habari!
 
Hivi huyu kijana Bashe ana uraia wa TZ?

Tanzania hatuna kabila la wasomali kwa hiyo wazazi wake wanaweza wakawa wametokea Somalia, Ethiopia, Eritrea au Kenya. Je walipata uraia wa TZ.

Kama Bashe amezaliwa nchini hiyo pekee haimfanyi awe Mtanzania bila kuomba uraia anapofika miaka 18, je alifanya hivyo?
 

Ishakuwa taabu sasa!
 
Huyu aliyeweka thread hii ni Hussein Bashe mwenyewe, nashauri tusipoteze muda na vifisadi vinavyochipukia!
Kaandaliwa kumwadhibu Seleli kwa kushiriki kwake kwenye Richmond! Hussein ni FIASADI MKUBWA byhimself!

Mwezi uliopita Seleli alifanya mkutano kanisani Tabora na kusema kuwa Tabora itatawaliwa na wana Tabora na pia watu wa Tabora wajihadhari na magaidi.ukiona mtu anatoa kauli hizo wazi mbele ya vyombo vya habari ujue kuwa hali si nzuri.

Bashe amewahi kuwa rais wa wanafunzi chuo kikuu cha Mzumbe,jee alisaidiwa na Rostam kupata urais wa wanafunzi? kweli wanafunzi wa chuo kikuu wa Mzumbe wanaweza kudanganywa na RA?

Bashe alipambana vikali na Beno Malisa ambaye ni mtu wa Lowassa habari yake inajulikana mkitaka zaidi muulize Saeed Kubenea wa Mwanahalisi.
sasa kama Bashe ni mtu wa RA kwanini apambane na mtu wa Lowassa? kwani Lowassa na RA ni marafiki wakubwa na hawapingani kwenye siasa zao.

ili Malisa kumshinda Bashe ilibidi uchaguzi urudiwe wa UVCCM na Malisa kuomba kura za wagombea wa Zainab Kawawa.

lakini kama kweli mnafuatilia siasa Seleli si mpiga vita ufisadi kuna kitu kakikosa kutoka kwa Lowassa hicho ndio chanzo cha yeye kuwa tofauti na Lowassa, hafanyi kwa maslahi ya watanzania bali kwa kukosa kitu fulani.Seleli kafanyiwa Mambo mengi na Lowassa ni sawa na rais Bakili Muluzi na Bingwa wa mutharika wa Malawi.

kuna wanasiasa kama kina John Guninita walipokosa kitu kwenye CCM wakaenda upinzani wakati mioyoni mwao kuna kitu walikosana.Mrema alipopata demotion ya uwaziri mkuu na kuona hana nafasi ya kuwa Rais kupitia CCM akawa mpinzani.SELELI si mpigania haki za watanzania bali analia na maslahi yake binafsi.

inawezekana hii kaileta mtu wake kama sio yeye kutafuta kinga jimboni mwake.kama alikaa Nzega kwa muda wote na kupata habari ya Bashe vipi hili lingine atupe sisi watu wa jf ambao hatuko Nzega?

Nakumbuka kwenye uchaguzi wa Waziri mkuu Pinda kulikuwa na mada hapa kutaja nani atakuwa waziri mkuu baada ya LOWASSA kujiuzulu yalikuja majina mengi hakuna hata aliyebahatisha kuwa ni Pinda hiyo inatosha kukufahamisha kuwa habari za hapa hazina vyanzo vizuri kwa asilimia 70 ulizodai.

kama unataka kujua nguzu zake waulize wanafunzi wa Mzumbe waliompa urais,waulize Uvccm hasa wale aliwashinda kwenye chaguzi mbali mbali watakuwa na jibu zuri.au wana Nzega ndio watakuwa na habari zake nyingi na sahihi.

tusimshutumu kwa usomali kuwa alitakiwa aape akiwa na miaka 18 jee baraka Obama alipofika miaka 18 aliapa? sababu baba yake ni mjaluo wa Kenya. wenzetu wa Marekani wamemchagua Mjaluo toka Africa bara lingine kabisa sisi tunahoji usomali?
 
Rais BARAKA OBAMA mjaluo toka Kenya aliapa akiwa na miaka 18?
 

Shangazi labda hujui historia ya wana siasa wa Tabora.Seleli kafanya kazi kwa muda mrefu kwa Rostam Aziz,fuatilia ulizia.Seleli hakuwahi kuwa mwiba wa mafisadi yeye kapata nafasi ile kwa nguvu za mafisadi.

Seleli kama anabisha aje hapa tunamjua vizuri.kilichotokea ni kama ndoa yenye msukosuko kati ya Seleli na Lowassa na RA kwa upande mwingine.kuna kitu alikikosa Seleli chini ya uwaziri mkuu wa Lowassa hana nguvu kupinga ufisadi bali analia na maslahi binafsi.
 
Pengine BASHE mwenyewe ameamua kujiunga JF na kutundika swali hili ili afahamu iwapo JF ina dossier yoyote dhidi yake....Just thinking aloud.

Call me a racist,I simply don't trust hawa ma ba ga cho li (eg Jeetu Patel,Manji,Rostam....Bashe,nk).
 

Na vipi yeye kuwa New Habari (2006) Limited, tutamtenganishaje na jamaa anayefilisi nchi? (Namaanisha Rostam Aziz)
 
Jee una ushahidi wowote wa RA ku ''kupua'', au na wewe ni katika wale wenye agenda za siri, akina Mwanakijiji?


Kila siku utasikia mijitu ya CCM-Damu "lete ushahidi, ushahidi!!" mmerogwa nyie? hata mambo ya wazi eti lete ushahidi!! Mwisho mtauza na visivyo uzika kwa hao akina RA......mnakera
 

Hapa unadanganya mrema hakuwa na hiyo nia unayosema ya urais, usiandike tu kwa kuwa una uhuru wa kuandika. Kama hujui chanzo cha mrema kutoka ktk serikali ya mwinyi bora kaa kimya kuliko kuudanganya umma. Jiulize nini kilikamatwa pale uwanja wa ndege dar na mrema, jiulize chavda issues n.k. usikurupuke make CCM mmmezoea kurukia issues!!!
 

Pamoja na yote lakini yeyote anaye thubutu kukemea ufisadi hadharani huyo anaonyesha uzalendo. Usiseme kutoka hewani eti selelii alifanya kazi kwa rostam, tupe walau maelezo ya kina alifanya kazi ktk kamuni ipi ya rostam na mwaka gani. Usimpe kazi mtu eti ulizia!!! kama huna details nyamaza
 

We Magezi, una uhakika na majibu yako? Sidhani kama yako sahihi? Mrema alikuwa na amekuwa anaulilia urais kwa udi na uvumba. siku zumemtupa sasa anataka ubunge. Ukimtupa atagombea udiwani.
 

Sikuwa nimepanga kabisa kuchangia kwenye thread hii hasa baada ya kugundua kuwa kuna watu wanataka kuifanya hii ni sehemu ya kuchafua watu,unaweka jina la mtu hapa ili watu wamponde na inakuwa ndio raha yako.lakini mchangiaji huyu ndio kanifanya niingie jamvini kwa kuwa anajaribu kupotosha au hajui kufanya political analysis.

Uchaguzi wa ubunge nzega mwaka 2005 ulikuwa kama ifuatavyo:

Selelii 365
Abdala sijui jina la pili alipata 149
Hussein Bashe 109
Henry Mapalala 52
Ngungilile 36
Kigwangala 25

Na jambo lililomfanya Selelii ashinde ni kuungwa mkono na Rostam Aziz ambae ana nguvu sana mkoa wa tabora hususani Nzega na Igunga ambayo kwa wingi wa wapiga kura wa ccm mkoa inachukua zaidi ya asilimia 55.

Kwa kuwa wananchi wa kawaida walikuwa hawamtaki kabisa mpaka wiki ya tatu ya uchaguzi alikuwa hajaanza kupiga kampeni,ikabidi rostam ampigie simu rafiki wa Hussein aitwae John.akamwambia amtafutie Bashe.Kwenye mazungunzo na Bashe akamuomba akazindue kampeni ya Selelii Tabora ili amsaidie jambo walimpinga wakati wa kura za maoni, lakini kwa maslai ya chama.

Husseein Rostam na Wassira wakaenda nzega na wakaita mkutano mkubwa wa hadhara wa kwanza nzega na mzungumzaji mkuu akawa ni Hussein bashe.akawaomba sana wananchi wamsaidie Selelii kwa maslai ya chama na moja kati ya mambo walioyalalamikia sana wananchi siku hio ni kuwa tangu uhuru hawajawahi kuwa na waziri kwa kuwa wabunge wao wengi wanakuwa na elimu ndogo kama ya Selelii ambae ana cheti cha form four chenye D mbili na F zote.

Baadae Hussein akamtambulisha Selelii ambae kwa mdomo wake akaahidi kuwa wampe kipindi cha mwisho cha ubuge ambacho ndio hiki kimefika,sasa umenoga na hataki kuachia tena.

Hussein sio mtu anaependa kufikia malengo yake kwa namna yeyote kama unavyosema bali ni mwanasiasa wa kizazi kipya kwa maana ana urafiki na watu wa kada mbalimbali na ahamini katika falsafa ya magomvi yasiyo na mwisho,kwa mfano alikuwa Manager kampuni ya mwananchi lakini rostam alipomuomba akamsaidie new habari cooperation wala hakusita kwenda,ana urafiki na watu wengi wa vyama vya upinzani na wasio wanasiasa,hawi rafiki wa kundi bali rafiki wa mtu na ndio maana ni rafiki na Nape pia ni rafiki wa Nchimbi,wakati wao ni maadui.

Ni kweli ana asili ya kisomali lakini wazazi wake wamezaliwa Tanzania nay eye kajikuta amezaliwa Tanzania na mpaka sasa hajawahi kutoka nje ya Tanzania toka azaliwe,kasoma shule za kawaida kabisa za msingi na hata sekondari huko nzega,kachunga ng"ombe kama kijana yeyote wa kinyamwezi na anaongea kinyamwezi fasaha kabisa.Siasa iko kwenye damu yake na ndio maana alichaguliwa kuwa rais wa serikal ya wanafunzi ya mzumbe akiwa anasoma hapo.

Ukuaji wa kisiasa kweli ni tishio kwa Seleli kwa kuwa mchagiaji hapo juu ametumia kigezo cha mwaka 2005 wakati Husssein katoka tu kumaliza degree yake mzumbe.Uchaguzi wa ndani ya chama ulifanyika mwaka 2007 kuchagua nafasi mbalimbali, Hussein aligombea kuwakilisha wilaya kwenye mkutano mkuu wa taifa wa ccm ambapo alipata kura 1784 kati ya kura 1824.

HAWA NDIO WAJUMBE WATAKAOKUJA KUMPIGIA KURA MWAKANI DHIDI Selelii
 
kwa mfano alikuwa Manager kampuni ya mwananchi lakini rostam alipomuomba akamsaidie new habari cooperation wala hakusita kwenda...
Sahihisho hapo Mkuu... Bashe hakuacha kazi Mwananchi kaa hiari yake au kwa kuombwa na RA. Alilazimishwa kuacha kazi baada ya kugundulika kwua anajihusisha na siasa za vyama, jambo ambalo ni kinyume na sera za kampuni, na hakuwa peke yake, panga lilimkuta pia aliyekuwa CEO wakati huo, Ali mwambola.
Tuendelee
 
teh teh teh teh,

JF ni balaa, yani mtu akipindisha kidogo mmemdaka juu kwa juu. Safi sana hii
 
Pengine BASHE mwenyewe ameamua kujiunga JF na kutundika swali hili ili afahamu iwapo JF ina dossier yoyote dhidi yake....Just thinking aloud.

Call me a racist,I simply don't trust hawa ma ba ga cho li (eg Jeetu Patel,Manji,Rostam....Bashe,nk).
Hili suala la kukumbatia wageni na kuzuia watu tusiwaite mabagacholi ni dhana mbaya sana ya CCM ili waendelee kuwatumia watu hawa kama wafadhili wao.

CCM ndiyo imetuletea hii mijitu na inazidi kulitafuna taifa hivihivi, tukisema wanatugeuzia kibao kuwa tuna ubaguzi wa rangi, potelea mbali, mimi mbaguzi tena mkubwa tuuuuu, nawachukia sana wahindi wote wanaolipeleka taifa kubaya.

Hawa ndio walioingiza biashara ya products za kichina na wakawa wanasisitiza hata ulaya hatupati, wizi m2pu.

Bashe & co. ni watu wa kuogopwa vibaya sana. Watatumia hela zetu wenyewe kugombea vyeo mbalimbali na hata raia wetu hawajapewa elimu ya uraia vema, fikiria Rostam kujidai mtanzania kwa kuongea native language na wadanganyika wakaingia kwenye mtego kwa hela anazotoa kwao (wachache) ambazo ni haki yao na ya taifa zima wao wanashangilia tu.

Mi nawaombea kifo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…